DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Najua watapewa baadhi ya majimbo Ila Kwa zitto ni ngumu kwasababu huyu jamaa muda wowote anabadilika nafikiri CHAUMMA ndiyo watapewa majimbo mengi zaidi
AhaaaaHapo zito kabwe angebwgwa kama mbowe ali alivyostaafishwa sijui ingekuwaje?
Ambadilikie nani?Najua watapewa baadhi ya majimbo Ila Kwa zitto ni ngumu kwasababu huyu jamaa muda wowote anabadilika nafikiri CHAUMMA ndiyo watapewa majimbo mengi zaidi
Najua watapewa baadhi ya majimbo Ila Kwa zitto ni ngumu kwasababu huyu jamaa muda wowote anabadilika nafikiri CHAUMMA ndiyo watapewa majimbo mengi zaidi
Sio kweli hata kidogo...Alafu tukumbuke kuwa Simon sirro ndiyo mtangazaji wa matokeo ya ubunge Kwa mkoa wa kigoma
Unafikiri yeye hajui ? Huyo dogo muache atafune ruzuku ubunge hawezi kupata .Abdul Nondo tafuta jimbo lingine hamia hata Kigoma Vijijini, bado hujachelewa.
JPM aliwasoma wapinzani na kujua kuwa wapo ktk payroll ya sisiemu akaamua kuwaamshia VITA .Ambadilikie nani?
Hao ukibadilika wanazaa na wewe, yaani ule hela zao halafu ubadilike wakuangalie tu?
Zitto atabaki kuwatumikia katika siku zote za maisha yake.
🤣🤣Alafu tukumbuke kuwa Simon sirro ndiyo mtangazaji wa matokeo ya ubunge Kwa mkoa wa kigoma