Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Wameachwa na nani. Na walikuwa wamekatazwa nani. Na Nani mwenye hati miliki na nchi hii kukataza wengine. Nyie mitanzania Ni mizuzuNani kakuambia kila Mtanzania anaipenda Chadema? Wapi Zitto amewakataza Chadema kudai katiba mpya au mnatafuta wa kumsingizia...
Zitto ni mkabila, mdini na mla rushwa mzuri sana.Nakumbuka kabisa alifanya usaliti mkubwa sana kukivuruga Chadema kikiwa na nguvu kubwa kiasi Cha kutaka kukamata dola. Akawa anakula rushwa na kuvuruga chama Kwa kufanya uzandiki...
Chadema = watanzania. For your informationKumbe kwako watanzania ni Chadema?
Kwa hiyo sie ambao siyo chadema ni wakimbizi?Chadema = watanzania. For your information
Afadhali tusiwe na vyama vya upinzani kuliko kukiamini chama kinachoongozwa na Zito kuwa kinaweza kuwa chama cha upinzani.Nakumbuka kabisa alifanya usaliti mkubwa sana kukivuruga Chadema kikiwa na nguvu kubwa kiasi Cha kutaka kukamata dola. Akawa anakula rushwa na kuvuruga chama Kwa kufanya uzandiki...
Nashangaa walimfukuza akaanzisha chama chake ila mpaka leo wanaweweseka na zitto wanataka afuate misingi na misimamo yao wanasahau kuwa ana chama chake.CDM bado hajamsahau ex wake Zitto. Zitto anaishi maisha yake happily
Nadhani tatizo siyo Zito kuwa na chama chake, tatizo la Zito ni unafiki na ukigeugeu.Nashangaa walimfukuza akaanzisha chama chake ila mpaka leo wanaweweseka na zitto wanataka afuate misingi na misimamo yao wanasahau kuwa ana chama chake.
Kila mtu anahitaji milestone. Kwani sio chadema waliozunguka nchi nzima wakisema lowassa fisadi? Lema hadi akasema ni baraka kwa Mungu fisadi lowassa kupigwa mawe.Nadhani tatizo siyo Zito kuwa na chama chake, tatizo la Zito ni unafiki na ukigeugeu.
Ni Zito, baada ya wanachama na wapenzi wa chama chake kuuawa kule Zanzibar wakati wa uchaguzi, aliyetamka kuwa hawatayatambua matokeo ya uchaguzi Zanzibar, na hawatashirikiana na Serikali ya CCM Zanzibar...
Zito Ongelee chama chake yeye hawezi kufeel uchungu wa mbowe kama familia yake na wanachadema angekuwa muungwaana ange washauri chini ya jukwaa sio kuwaongelea kwenye majukwaa kama wao ni mabubu,haya mambo ya kiitikadi mnataka kutaleta tunawa Zoom tu.Nashangaa walimfukuza akaanzisha chama chake ila mpaka leo wanaweweseka na zitto wanataka afuate misingi na misimamo yao wanasahau kuwa ana chama chake.
Basi sawaZito Ongelee chama chake yeye hawezi kufeel uchungu wa mbowe kama familia yake na wanachadema angekuwa muungwaana ange washauri chini ya jukwaa sio kuwaongelea kwenye majukwaa kama wao ni mabubu,haya mambo ya kiitikadi mnataka kutaleta tunawa Zoom tu.