Zitto amshauri Wema kuhusu Maisha!

Zitto amshauri Wema kuhusu Maisha!

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
---NI CORAL BEACH HOTEL MASAKI
---WAKAA ZAIDI YA MASAA SITA
---ZITTO AKIRI ,WEMA AKANA

Siku chache vaada ya kumwagana na jumbe yussuf;aliedaiwa kuwa ni mpenzi wake;wema sepetu amenaswa na mbunge yanki zitto katika majani ya hotel ya coral beach.

Mtoa chanzo anasema ilipewa dili hilo na mmoja wa wafanyakazi wa hotel hiyo ambaye hakutaka achorwe gazetini...bila kusita waandishi walitia timu... Walipofika mahali walipotonywa wakiwa njian wema alifika sehemu hiyo na kuchagua kukaa kwenye bustani ,kisha akapozi kwa dk chache Mh Zitto nae akaingia na kumtaka kukaa nae meza moja.

Baada ya mapaparazi wetu kupiga macho bustanini na kuwaona waili hao walitafuta pozi la kuchabo kila kilichokuwa kikiendelea baina ya watu hao maarufu, yalikuwa ni mazungumzo yaliyodumu kwa muda wa saa sita ambapo kwa mujibu wa mfanyakazi aliekuwa akiwasogelea mara kwa mara na kutupa taarifa aligundua mmoja wa msemaji mkuu alikuwa ZITTO KABWE akitoa nasaha zake kwa mrembo huyo....ilibidi waandishi wetu kumdadisi mfanyakazi hyo kama kuna uwezekano wa kusikia chochote kikitetwa...wema alikuwa akipata ushauri wa maisha kufutia sakata la skendo zlizomkumba

Mheshimiwa anampa ushauri anamtaka kutulia nyumbani kwa mama yake na pia kuplan maisha yake ya baaadae

ili kupata ukweli wa juu ya mazungumzo hayo walimwendea hewani mh zitto ambapo alikiri kuwa eneo hilo lakini alikataa kuwa na wema...kwa upande wa wema ambae kwa upande wa wake anakula bata na mama yake.... alikana kuwepo sehemu hiyo wakati mbunge akisema alimwona....

tuanmpongeza mbunge Zitto kwa ushauri nasaha ila tunaomba afanye hivyo kwa kuandaa kozi maalum za ushauri kuna madada wengi sana walio maofisini wanaoishi maisha machafu sana, badala ya kuwafwata hawa ma miss.

Tunamtakia kila la kheri!
 
Last edited by a moderator:
If this account is to be trusted then the Zitto stock is fastly nosediving.

But I seriously smell tabloidism here.
 
Kwa jinsi stori yenyewe ilivyoandikwa tu inakufanya mtu utilie shaka ukweli wa kinachoongelewa lakini tena huwezi jua, inawezekana ikawa kinachosemwa ni kweli.
 
Huku sio mahali pake, lakini mbona ZITO siki hizi haonekani hapa JF?
 
udaku udaku mod pelekeni kunakohusika hapa tunajadili issue za maendeleo ya taifa letu kwa ujumla
 
JAmani, this is not JF standard!!!! Waanzishe Ze Utamu ingine si hapa
 
..huu ni udaku sasa.

..moderator futa kabisa posting hii.

..sidhani kama inastahili kuwepo ktk ukumbi wowote ule wa jamii forums.
 
Sasa hii mnaita udaku kwa sababu anayezungumziwa nai Zitto au?
 
Sasa hii mnaita udaku kwa sababu anayezungumziwa nai Zitto au?

Tena bila ushahidi...unajua huwezi kui-dismiss completely hii habari unless una ushahidi wa kupingana na kilichoandikwa!!!
 
---NI CORAL BEACH HOTEL MASAKI
---WAKAA ZAIDI YA MASAA SITA
---ZITTO AKIRI ,WEMA AKANA



Siku chache vaada ya kumwagana na jumbe yussuf;aliedaiwa kuwa ni mpenzi wake;wema sepetu amenaswa na mbunge yanki zitto katika majani ya hotel ya coral beach
mtoa chanzo anasema ilipewa dili hilo na mmoja wa wafanyakazi wa hotel hiyo ambaye hakutaka achorwe gazetini...bila kusita waandishi walitia timu...walipofika mahali walipotonywa wakiwa njian wema alifika sehemu hiyo na kuchagua kukaa kwenye bustani ,kisha akapozi kwa dk chache Mh ZITTO nae akaingia na kumtaka kukaa nae meza moja
Baada ya mapaparazi wetu kupiga macho bustanini na kuwaona waili hao walitafuta pozi la kuchabo kila kilichokuwa kikiendela...baina ya watu hao maarufu...yalikuwa ni mazungumzo yaliyodumu kwa muda wa saa sita ambapo kwa mujibu wa mfanyakazi aliekuwa akiwasogelea mara kwa mara na kutupa taarifa aligundua mmoja wa msemaji mkuu alikuwa ZITTO KABWE akitoa nasaha zake kwa mrembo huyo....ilibidi waandishi wetu kumdadisi mfanyakazi hyo kama kuna uwezekano wa kusikia chochote kikitetwa...wema alikuwa akipata ushauri wa maisha kufutia sakata la skendo zlizomkumba
Mheshimiwa anampa ushauri anamtaka kutulia nyumbani kwa mama yake na pia kuplan maisha yake ya baaadae
ili kupata ukweli wa juu ya mazungumzo hayo walimwendea hewani mh zitto ambapo alikiri kuwa eneo hilo lakini alikataa kuwa na wema...kwa upande wa wema ambae kwa upande wa wake anakula bata na mama yake.... alikana kuwepo sehemu hiyo wakati mbunge akisema alimwona....

tuanmpongeza mbunge zitto kwa ushauri nasaha ila tunaomba afanye hivyo kwa kuandaa kozi maalum za ushauri kuna madada wengi sana walio maofisini wanaoishi maisha machafu sana ,,,baadala ya kuwafwata hawa ma miss
tunamtakia kila la kheri

Sooo?? What's this got to do with us?
 
I dont see anything wrong kama Zitto alikutana na Wema wakawa na mazungumzo ya mda mrefu. What is wrong with that? Kwani ukiwa mbunge..jamani huruhusiwi kuwa na social life? Hata kama angekuwa anaomba ammegee..whats wrong with that? Jamani after all Zitto is just a young man with human needs just like me and you. Unajua mimi nimeona ni breaking news..nikajua labda mheshimiwa amefumaniwa au something related to that..

I really dont see anything wrong with this. Hii habari huwezi kuiita udaku wala siasa..kifupi haina substance yoyote...maana Zitto kukutana na Wema wakafanya maongezi..hakuna ubaya. Sema tuu basi..people want to create news/attention even where it doesnt exist.


Mheshimiwa Zitto..wewe kama unaomba umegewe..Kila lakheri mkuu...ila..ushauri wangu: Play it safe!

Masanja,
 
Ndiyo haya JKN aliwaambia Wakenya kuwa ukisikia mimi natembea na mama yako......... Najua itakuwa ngumu sana kupinga kwa kuthibisha kwa Zitto si baba yako wa kufikia.
 
Back
Top Bottom