Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
---NI CORAL BEACH HOTEL MASAKI
---WAKAA ZAIDI YA MASAA SITA
---ZITTO AKIRI ,WEMA AKANA
Siku chache vaada ya kumwagana na jumbe yussuf;aliedaiwa kuwa ni mpenzi wake;wema sepetu amenaswa na mbunge yanki zitto katika majani ya hotel ya coral beach.
Mtoa chanzo anasema ilipewa dili hilo na mmoja wa wafanyakazi wa hotel hiyo ambaye hakutaka achorwe gazetini...bila kusita waandishi walitia timu... Walipofika mahali walipotonywa wakiwa njian wema alifika sehemu hiyo na kuchagua kukaa kwenye bustani ,kisha akapozi kwa dk chache Mh Zitto nae akaingia na kumtaka kukaa nae meza moja.
Baada ya mapaparazi wetu kupiga macho bustanini na kuwaona waili hao walitafuta pozi la kuchabo kila kilichokuwa kikiendelea baina ya watu hao maarufu, yalikuwa ni mazungumzo yaliyodumu kwa muda wa saa sita ambapo kwa mujibu wa mfanyakazi aliekuwa akiwasogelea mara kwa mara na kutupa taarifa aligundua mmoja wa msemaji mkuu alikuwa ZITTO KABWE akitoa nasaha zake kwa mrembo huyo....ilibidi waandishi wetu kumdadisi mfanyakazi hyo kama kuna uwezekano wa kusikia chochote kikitetwa...wema alikuwa akipata ushauri wa maisha kufutia sakata la skendo zlizomkumba
Mheshimiwa anampa ushauri anamtaka kutulia nyumbani kwa mama yake na pia kuplan maisha yake ya baaadae
ili kupata ukweli wa juu ya mazungumzo hayo walimwendea hewani mh zitto ambapo alikiri kuwa eneo hilo lakini alikataa kuwa na wema...kwa upande wa wema ambae kwa upande wa wake anakula bata na mama yake.... alikana kuwepo sehemu hiyo wakati mbunge akisema alimwona....
tuanmpongeza mbunge Zitto kwa ushauri nasaha ila tunaomba afanye hivyo kwa kuandaa kozi maalum za ushauri kuna madada wengi sana walio maofisini wanaoishi maisha machafu sana, badala ya kuwafwata hawa ma miss.
Tunamtakia kila la kheri!

Last edited by a moderator: