Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hivyo kumegwa ina maana gani haswa? Je wanawake peke yao ndio wanamegwa?
Heheheheheee Pretty bana...yaani hujui kumegwa maana yake nini? Nataka kukuuliza kama wewe.......lakini sitakuuliza...Lol