Okay, Rwabugiri,
Sasa kama inawezekana Kikwete anamshambulia Ngeleja hadharani kwa sababu Ngeleja hataki kufuja hela za walalahoi ni kwa nini huwa Ngeleje anaitikia "ndio mzee" ?
Kama anapogombezwa gombezwa hadharani ni kwa vile anachukia ufisadi ni kwa nini then ana turn around kwenda kutekeleza maagizo ya kifisadi ya Rais ?
Kuhani huwezi kuukata mkono unao kulisha, na pia si busara kufokeana/kujibizana na bosi wako mbele ya kadamnasi, na pengine waweza funika kombe mwana haramu apite, ndiyo maana, narudia tena ndo maana Mh. Zitto kwa kuliona hilo akatoa angalizo na wito kwa Ngeleja kwamba atoke huko ( chama cha wabaka raslimali za Taifa) ajiunge na chama makini ili UMAKINI wake usikwazike alitumikie Taifa lake kwa nguvu zake zote na kwa uadilifu kulingana na kiapo chake!