Zitto anajua nini anafanya

Mkuu hapo kwa Lisu ongeza nyama kdg kwamba anaweza akawa Kama Ken sarowiwa!!!!
 
Vyama vyote vya Upinzani mlezi wao ni Ccm japo sio viongozi wote wa Upinzani wanalelewa na Ccm!

Hata Mataifa ya nje yaliyojaribu kusaidia Upinzani wamepiga u turn miaka ya karibuni baada ya kugundua hilo na miaka ya karibuni wamepunguza saana harakati zao za kusaidia upinzani zaid ya kutoa semina za Capacity building maana mbinu zao zote zinaifikia Dola kwa wakati kabisa

Kuna shirika lilijaribu kuwekeza kwa kina Julius Mtatiro wakamtia hadi kwny training mataifa ya mbele lakin baadae karudisha mpira kwa kipa

ACT imejaa 'walinzi wa Mapinduzi' kama ilivyokuwa kwa CUF na Chadema

Aksante sana Kambarage kwa Mfinyango huu uliofinyanga nchi
 
Vijana wa ACT bwana. Yaani mmefika hatua ya kujilinganisha na Chadema?
 
Hi ni kweli kwa hali ilivyo sasa kuwa CCM bado ni dollah. ila mabadiliko ya kisheria haswa uamuzi wa mahaka unatoa nafasi kwa upinzani
 
Siyo kweli, soma post zangu za zamani utaelewa kuwa sijali chama bali najali mabadiliko ya kweli. CDM is done, they know it.
 
Membe hawezi kuchukuwa kura za Waislamu waliokuwa cuf kwa sababu Membe siyo Muislamu, kama hio ndiyo nia ya Zito kabwe ni bora hata angemlamba miguu Lipumba amsaidie ili kupata kura za Waislamu lkn siyo Membe, ni rahisi kihivyo tu, ...
Huu ndio upuuzi mwingine "udini" unaoendekezwa na fisiemu hapo bado ukabila...
Walianza NCCR italeta vita... TLP ni ya wahuni, CUF wameleta panga kupindua nchi cha waislamu CDM ya wachagga!! Haya tuendelee...
 
Ni kutapatapa tu, hakuna upinzani tz. BTW Zito ni ndumilakuwili, tamaa ya uongozi. Kwake yeye bora Chadema ife, wakose wote! Kuliko Zito Bora Mbowe, The lesser the Devil!

Hauna aibu hoja hii aliipandikiza kichwani mwako mbowe mpaka leo unayo

Nika mbwa jike umeingiliwa na dume na mmenatana! Phyuu aibu

Zitto huyu anayekomaa na kupambana na JPM ana haja gani ya kuwa ndumilakuwili akakae meza moja na JPM? Ana gain nini?

CDM historia inaandikwa, kilikuwa chama kikubwa
 

Yanatuhusu nini?
 

Wait and see
 

Tena itakufa vibaya kama barafu kwenye jua kali

Maana bado kidogo
 
Chadema ilitakiwa ikijenge chama kivipi? kwa style ya siasa za Magu(hakuna mikutano ya hadhara,wapinzani kukamatwa kila mara etc).

Naomba unisaidie kusema mbinu ambazo Chadema wangechukua Kujenga chama kwny mazingira hayo.
 
Naked Truth.
 
Nashukuru sana kwa mfinyango wa Nyerere maana mpk huko BAKWATA alipafinyanga ki-ustadi kabisa.
 
Siyo kweli, soma post zangu za zamani utaelewa kuwa sijali chama bali najali mabadiliko ya kweli. CDM is done, they know it.
Kwamba Chadema chenye wabunge kila kona nchini na madiwani mamia kinaenda kumalizwa na Chama chenye mbunge mmoja anayejulikana na Diwani maarufu Baba LEVO hahah.
 
Umeandika kishabiki sana.
1: Hukumu ya mahakama hiyo haina maana kwani Tanzania ana hiyari kuitii au kuipuuza.
2: Lissu hawezi kuwa mgombea mwenza kwani kisheria mgombea mweza anatakiwa kutokea upande wa pili wa muungano.
3: Hata Mbowe alijua Lowasa hatashinda. Bali alilenga wabunge na ruzuku. Na alifanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…