Zitto anajua nini anafanya

Lissu mgombea mwenza wa Membe haya sasa matusi,liwalo na liwe Lissu hawezi fanya huo ujinga na uhayawani,na chadema haifi ng`o sahau patachimbika
 
Katiba ya Jamhuri haikubali hili. Membe anatoka upande mmoja wa Muunmgano na Tundu Lissu. Rais akitoka Bara mgombea mwenza lazima atoke visiwani.
Akhsante kwa kufafanua, hilo nilikuwa silijui ba pia sifahamu sheria vizuri. Nimesoma hicho kipengele cha katiba Lisu na Membe hawawezi kugombea pamoja. Either way Zitto bado anahitaji kutoa offer kwa chadema ambayo hawawezi kuikataa.
Kwa sasa chadema ndo wana karata ila long term ACT ndo wana nafasi nzuri.
Shukrani
 
Unajidanganya
 
Watanzania wote mna aina moja ya kufikiri - awe Mbowe, wewe, nk. Kwani Mutharika wa Malawi aliruhusu maandamano? Mbona ametoka bila ya kupenda? Magufuli alizuia hata kutumia bilioni 8 za ruzuku kujenga ofisi nzuri za chama?
hakuna mikutano ya hadhara,wapinzani kukamatwa kila mara etc
 
Watanzania wote mna aina moja ya kufikiri - awe Mbowe, wewe, nk. Kwani Mutharika wa Malawi aliruhusu maandamano? Mbona ametoka bila ya kupenda? Magufuli alizuia hata kutumia bilioni 8 za ruzuku kujenga ofisi nzuri za chama?
Chadema wanafikiri maandamano ndio yanawapeleka ikulu!

Kwanza kwenye hilo la ofisi, yani hadi aibu
 
Watanzania wote mna aina moja ya kufikiri - awe Mbowe, wewe, nk. Kwani Mutharika wa Malawi aliruhusu maandamano? Mbona ametoka bila ya kupenda? Magufuli alizuia hata kutumia bilioni 8 za ruzuku kujenga ofisi nzuri za chama?
Na wakongo wote wanafikiria kama wewe.

Kwa hio na wale wa Malawi walijenga ofisi zao kwanza then zikawasaidia wao kukamata madaraka sio?

Mange aliitisha hapa Maandamano wewe ulisogeza hizo mbupu kwny hayo maandamano?Dar nzima waijitokeza machalii hawazidi hata 10 kuandamana ,ilitangazwa operation UKUTA wewe ulii-support vipi movement ile?

Keyboard warrior mna shida sana.
 
Kubalini kutawaliwa hivyo hivyo kwa upanga. Mimi siwezi kutoka nje ya nchi kuja kunadamana Tanzania.
 
Kubalini kutawaliwa hivyo hivyo kwa upanga. Mimi siwezi kutoka nje ya nchi kuja kunadamana Tanzania.
Pale unapodhani uko nje ya nchi mwenyewe tu na unategemea ukirudi utakuta wanaume wamekusafishia njia wewe ni kuja kukaa kiroho safi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…