Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui?Unafiki wa nini!
Baada ya Mwendazake mmebakiza nini.CHADEMA na Zitto, CCM na Tundu Lissu.
Mmebakiza risasi 36 tu.
Zitto anatema Big G kwa karanga za kuonjeshwa, NEC ni ile ile system ni ile ile aliyodai imeua wazanzibari zaidi ya 14 wakati ule nini kipya.Kila jambo ni hatua. huwezi kupata vyote kwa wakati mmoja.
Zitto yuko sawa.
SuniMuslim
Sasa ningekua najua ningekuuliza! Unanipotezea tu muda wangu hapa.Hujui?
Maji kila kona ya mji? Ninapoishi mimi shida ya maji ni kubwa na mto hauko mbaliUhuru wa kweli ni uhuru aliotuletea Magufuli.
Wananchi wamepelekewa zahanati almost kila kijiji. So wapo huru kupata huduma ya afya.
Wananchi wamepelekewa umeme kwa sasa wapo huru kutumia umeme kufanya uzalishaji na matumizi ya nyumbani.
Wananchi wanapita kwenye barabara nzuri, wapo huru kusafiri bila kikwazo cha barabara mbovu.
Maji kila kona ya miji.
Amejenga bwawa la umeme litaloingiza umeme mwinngi kwenye gridi ya taifa hivyo wananchi watakuwa huru zaidi kutumia umeme kuzalisha mali.
Ujambazi ulikomeshwa kuanzia kwenye mitaa, mabenki mpaka kwenye biashara.
Vijana watafutaji kama machinga, mamalishe, bodaboda nk walipewa uhuru wa kufanya biashara za kujitafutia popote ilimradi awavunji sheria.
Uhuru wa kweli ni kumpa maisha bora mwananchi wa kawaida.
Huu uhuru wa Zitto na wenzake ni wa kufanya siasa za chuki huku wao wakijaza matumbo yao.
NEC ni ile ile na itaendelea kuwa hiyo hiyo mpaka pake wananchi kwa umoja wao watakaposhinikiza iwe vinginevyo aidha kupitia maandamano au mapigano au aktenatively kuwe na wabunge wengi wa upinzani kuliko CCM wafanye shinikizo: Case study Zanzibar, Kenya.Baada ya Mwendazake
Zitto anatema BG kwa karanga za kuonjeshwa, NEC ni ile ile system ni ile ile aliyodai imeua wazanzibari zaidi ya 14 wakati ule nini kipya.
Taka takaUhuru wa kweli ni uhuru aliotuletea Magufuli.
Wananchi wamepelekewa zahanati almost kila kijiji. So wapo huru kupata huduma ya afya.
Wananchi wamepelekewa umeme kwa sasa wapo huru kutumia umeme kufanya uzalishaji na matumizi ya nyumbani.
Wananchi wanapita kwenye barabara nzuri, wapo huru kusafiri bila kikwazo cha barabara mbovu.
Maji kila kona ya miji.
Amejenga bwawa la umeme litaloingiza umeme mwinngi kwenye gridi ya taifa hivyo wananchi watakuwa huru zaidi kutumia umeme kuzalisha mali.
Ujambazi ulikomeshwa kuanzia kwenye mitaa, mabenki mpaka kwenye biashara.
Vijana watafutaji kama machinga, mamalishe, bodaboda nk walipewa uhuru wa kufanya biashara za kujitafutia popote ilimradi awavunji sheria.
Uhuru wa kweli ni kumpa maisha bora mwananchi wa kawaida.
Huu uhuru wa Zitto na wenzake ni wa kufanya siasa za chuki huku wao wakijaza matumbo yao.
SureZitto Tumbo lake likiwaa na uhakika WA kujaa anaweza kufanya lolote. Yeye Kwanza.
Kuhusu kina Halima Mdee covid19, Chadema haihusiki nao imeshatekeleza majukumu yake isipewe lawama kwa udhaifu wa institutions zingine.NEC ni ile ile na itaendelea kuwa hiyo hiyo mpaka pake wananchi kwa umoja wao watakaposhinikiza iwe vinginevyo aidha kupitia maandamano au mapigano au aktenatively kuwe na wabunge wengi wa upinzani kuliko CCM wafanye shinikizo: Case study Zanzibar, Kenya.
Hata kama Samia kama Rais atakubali, CCM watamkwamisha tu kama walivyofanya kwa Kikwete.
Muhimu zaidi: Suala la katiba linapaswa kuwa la wananchi, kwasababu kwa katiba hiyo mbovu hata CHADEMA leo wakiingia madarakani hawstaibadili hiyo katiba maana ina faida kwao.
Hivyo, nawashauri vijana wa CHADEMA mna hulka kama CCM. Wao wamehodhi nchi kama yao na ninyi mnataka kuhodhi siasa za upinzani kama zenu.
Kila mtu ana fikra zake.
Kususa hakujaonesha matokeo. Leo wabunge 19 mliowafukuza uanachama wako bungeni, mmefanyaje sasa ??
Ukigoma wewe na huku wananchi wanakusahau: wakishiriki kina Shibuda, TLP, CHAUMMA, DP etc wanahalalisha mchakato.
Utalalamika wapi hukutendewa haki wakati hukushiriki ??
Tumekuwa na tume hii hii takataka na katiba mbovu hii hii tangu mwaka 1992 lakini upinzani umekuwa unaongezeka kila mwaka.
Kila kitu ni hatua. Siyo jambo akikifanya mtu mwibgine sawa, akilifanya mwingine anashambuliwa.
Haya yasemekana Mbowe anatarajiwa kwenda Ikulu kwa Samia, ingekuwa ni Zitto ndio angeenda ungeona mashambulizi ya wanachadema.
Huyo Zitto mlimfukuza lakini chuki mliyonayo dhidi yake ni nzito mnoooo.
Wasabato ni dini tangu lini?Msabato!
Anyway, wakati ndio tiba sahihi.Kuhusu kina Halima Mdee covid19, Chadema haihusiki nao imeshatekeleza majukumu yake isipewe lawama kwa udhaifu wa institutions zingine.
Aliyekudanganya Mbowe anatarajia kwenda ikulu kwa Samia endelea kumuamini.
On this issue Timeframe matters.Anyway, wakati ndio tiba sahihi.
Tukubaliane kwamba CHADEMA haitashiriki uchaguzi wowote chini ya Katiba hii na Tume hii tena kuanzia sasa.
Na wala Mbowe hataenda Ikulu.
Siku zote nimekuwa nikimchukulia Zitto kama ni mmoja wa vichwa sana miongoni mwa wanasiasa tulio nao hapa nchini.“Nimekua nyakati ambazo siasa ni ushawishi wa hoja. Nimejifunza siasa na kushiriki siasa wakati huo. Miaka 6 iliyopita ilikuwa migumu sana kwangu kwani siasa ilikuwa nguvu, vurugu, uporaji, mauaji nk. Ninafuraha sasa naona siasa za ushawishi zinarudi. Kwangu Mimi Uhuru huo UNATOSHA.” Zitto Kabwe.
NB:
Uhuru haupimwi kwa uchaguzi wa majimbo mawili, kwangu uhuru utapatikana siku tunapata, Tume huru ya uchaguzi, uhuru wa vyombo vya habari, serikali inayoheshimu haki za binadamu, freedom of expression, Katiba Mpya.
Zitto ajue uhuru sio hisani anayopata kwa kiongozi aliye madarakani, akumbuke pia uhuru anaosema unatosha ulipiganiwa na wengine ambao bado hawajaupata.
Magufuli ndio nani?Uhuru wa kweli ni uhuru aliotuletea Magufuli.
Wananchi wamepelekewa zahanati almost kila kijiji. So wapo huru kupata huduma ya afya.
Wananchi wamepelekewa umeme kwa sasa wapo huru kutumia umeme kufanya uzalishaji na matumizi ya nyumbani.
Wananchi wanapita kwenye barabara nzuri, wapo huru kusafiri bila kikwazo cha barabara mbovu.
Maji kila kona ya miji.
Amejenga bwawa la umeme litaloingiza umeme mwinngi kwenye gridi ya taifa hivyo wananchi watakuwa huru zaidi kutumia umeme kuzalisha mali.
Ujambazi ulikomeshwa kuanzia kwenye mitaa, mabenki mpaka kwenye biashara.
Vijana watafutaji kama machinga, mamalishe, bodaboda nk walipewa uhuru wa kufanya biashara za kujitafutia popote ilimradi awavunji sheria.
Uhuru wa kweli ni kumpa maisha bora mwananchi wa kawaida.
Huu uhuru wa Zitto na wenzake ni wa kufanya siasa za chuki huku wao wakijaza matumbo yao.
Mkuu wacha wasifie kwani ni dhambi?Rais Samia ni rais anayetokana na CCM na anatekeleza ilani ya CCM.
UFIPA NA ZITO wamesahau kujenga vyama vyao wako bize kusifia wana CCM.