Zitto anasema uhuru anaopata kwa sasa unatosha

CHADEMA na Zitto, CCM na Tundu Lissu.

Mmebakiza risasi 36 tu.
Baada ya Mwendazake mmebakiza nini.
Kila jambo ni hatua. huwezi kupata vyote kwa wakati mmoja.
Zitto yuko sawa.
Zitto anatema Big G kwa karanga za kuonjeshwa, NEC ni ile ile system ni ile ile aliyodai imeua wazanzibari zaidi ya 14 wakati ule nini kipya.
 
Maji kila kona ya mji? Ninapoishi mimi shida ya maji ni kubwa na mto hauko mbali
 
Baada ya Mwendazake

Zitto anatema BG kwa karanga za kuonjeshwa, NEC ni ile ile system ni ile ile aliyodai imeua wazanzibari zaidi ya 14 wakati ule nini kipya.
NEC ni ile ile na itaendelea kuwa hiyo hiyo mpaka pake wananchi kwa umoja wao watakaposhinikiza iwe vinginevyo aidha kupitia maandamano au mapigano au aktenatively kuwe na wabunge wengi wa upinzani kuliko CCM wafanye shinikizo: Case study Zanzibar, Kenya.

Hata kama Samia kama Rais atakubali, CCM watamkwamisha tu kama walivyofanya kwa Kikwete.

Muhimu zaidi: Suala la katiba linapaswa kuwa la wananchi, kwasababu kwa katiba hiyo mbovu hata CHADEMA leo wakiingia madarakani hawstaibadili hiyo katiba maana ina faida kwao.

Hivyo, nawashauri vijana wa CHADEMA mna hulka kama CCM. Wao wamehodhi nchi kama yao na ninyi mnataka kuhodhi siasa za upinzani kama zenu.

Kila mtu ana fikra zake.

Kususa hakujaonesha matokeo. Leo wabunge 19 mliowafukuza uanachama wako bungeni, mmefanyaje sasa ??

Ukigoma wewe na huku wananchi wanakusahau: wakishiriki kina Shibuda, TLP, CHAUMMA, DP etc wanahalalisha mchakato.

Utalalamika wapi hukutendewa haki wakati hukushiriki ??

Tumekuwa na tume hii hii takataka na katiba mbovu hii hii tangu mwaka 1992 lakini upinzani umekuwa unaongezeka kila mwaka.

Kila kitu ni hatua. Siyo jambo akikifanya mtu mwibgine sawa, akilifanya mwingine anashambuliwa.

Haya yasemekana Mbowe anatarajiwa kwenda Ikulu kwa Samia, ingekuwa ni Zitto ndio angeenda ungeona mashambulizi ya wanachadema.

Huyo Zitto mlimfukuza lakini chuki mliyonayo dhidi yake ni nzito mnoooo.
 
“Tunakata mfumo, sheria, katiba itakayolinda demokrasia,uhuru wa watu, uhuru wa habari, tunataka tume huru ya uchaguzi. Tunataka mtu ataesema bila hofu wa aibu kwamba atalinda mambo haya ya Muhimu katika nchi...sio mtu ambae atakupa jimbo 1 wakati umeshinda uchaguzi wa nchi nzima.” John Heche.
 
Taka taka
 
Tujukumbushe huyo zitto enzi za mkwere alipandaga Hadi ndege ya rais kwenda nae juba sudan kusini

Sikuwahi msikia akimkosoa mkwere.

Zitto Ni mnafiki Sana
 
Kuhusu kina Halima Mdee covid19, Chadema haihusiki nao imeshatekeleza majukumu yake isipewe lawama kwa udhaifu wa institutions zingine.

Aliyekudanganya Mbowe anatarajia kwenda ikulu kwa Samia endelea kumuamini.
 
Kuhusu kina Halima Mdee covid19, Chadema haihusiki nao imeshatekeleza majukumu yake isipewe lawama kwa udhaifu wa institutions zingine.

Aliyekudanganya Mbowe anatarajia kwenda ikulu kwa Samia endelea kumuamini.
Anyway, wakati ndio tiba sahihi.

Tukubaliane kwamba CHADEMA haitashiriki uchaguzi wowote chini ya Katiba hii na Tume hii tena kuanzia sasa.

Na wala Mbowe hataenda Ikulu.
 
Anyway, wakati ndio tiba sahihi.

Tukubaliane kwamba CHADEMA haitashiriki uchaguzi wowote chini ya Katiba hii na Tume hii tena kuanzia sasa.

Na wala Mbowe hataenda Ikulu.
On this issue Timeframe matters.
 
Siku zote nimekuwa nikimchukulia Zitto kama ni mmoja wa vichwa sana miongoni mwa wanasiasa tulio nao hapa nchini.
How horribly have I been proven wrong!!

Zitto's latest antics make even the likes of Msigwa, Sugu, Rungwe, etc (not even to mention Lissu & Mbowe) look tens of times smarter than him.
 
Magufuli ndio nani?
 
Siasa za udini aziwezi kutenganishwa na Zitto...Ni mnafki wa level ya Magna cum laude.
 
Zitto anataka kusimika utawala wa Kimwami ili Mpango akiwa Mwami yeye awe Waziri Mkuu
 
Rais Samia ni rais anayetokana na CCM na anatekeleza ilani ya CCM.

UFIPA NA ZITO wamesahau kujenga vyama vyao wako bize kusifia wana CCM.
Mkuu wacha wasifie kwani ni dhambi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…