Zitto Arejea Ujerumani kwa PhD

Tumuombee kwa RABUKA hiyo elimu anayoitafuta ije imsaidie asijichanganye kama walivyomchanganya mafisadi wa DOWANS!
 

Juma Contena, do you mean economists sio politicians wazuri? I think Zitto's combination of law and economics will make him a great politician. All the best for your studies Zitto
 
Ah kweli nimeamini kuwa sisi Watanzania ni WATU WA HOVYO HOVYO,Zitto kaleta hoja murua yenye tafakuri nzito ,mijitu inajitokeza na kusema eti UTUMBO,mi nampongeza Zitto kuwa mwalimu mzuri na kiongozi bora wa kupigiwa upatu,nafikiri Ngereja na kinara wake watakuwa wamepata somo la kutosha toka kwa Kabwe,huhitaji kusomea sheria kujua nini mwanasheria Ngereja anashindwa kutolea maamuzi kuhusu IPTL na Dowans
 

TATIzo ni chuki kwani baada ya Zitto kumkabili mchaga Mbowe ndio vibaraka wote wamejenga chuki mbaya kwa Zitto.leo wanahoji kama ana digrii.kwanini wasiulize kama Mbowe ana digrii? au Mpaka Kieleweke ambaye haijulikani kama ana digrii.
huyu ndio kibaraka wa Mbowe anafikiri atakuwa mbunge wa ubungo.hata Mchukia ufisadi aliyejiunga Chadema juzi tu anasema kuwa Zitto anashauriwa na vijana wa CCM yAANI NI CHUKI BINAFSI DHIDI YA ZITTO.NYOTA YA ZITTO ITAZIDI KUWAKA HATA WACHUKIE.ZITTO PIGA MASOMO MBOWE YAMEMSHINDA.BY THE WAY UNACHOCHUKUA NI ZIADA WAKATI MBOWE HATA BASIC KASHINDWA.HEKO ZITTO ZUBEIR WA KABWE.
 
hongera sana zitto, nakutakia masomo mema
 
Mh Zitto alikua na point kutetea kuibeba mitambo,ili hao wanotugawia umeme sa'izi wasingekua na jeuri hiyo,ila tumezidi ukondoo,let's us get up enough is enough,mgawo kwa ajili ya visa vyao twaumia siye
 


nakubaliana nawe mkuu! ila huyu Bwana hata simwelewi. Kwanza ana mkataba gani na ujerumani maana wamekuwa marafiki zake sana. Pili ankuwa anageuka geuka sana kiasi kwamba hiyo Phd anayoitafuta inaweza kumharibu zaidi. i guess he is looking for pride zaidi. He must be extremely care to save people's interests otherwise he will die natural death, ofcourse in the way to it i can see
 


ni kweli nyota yake inaweza kuzidi kuwaka, but let me tell you one thing, he must be very careful.
 
Sisi kama wapiga kura wake, tunakutakia masomo mema, lengo ni zuri kwako na kwa wapiga kura, nakushauri usigombee uchaguzi ujao ili upate nafasi ya kusoma bila msongo wa mawazo wa kugombana na wale tunaowaita wasioitakia nchi yetu mema. Jimbo letu linahitaji watu wenye elimu fungua milango kaka wengine tunakuja
 
Jamani wasomi wetu jitahidini basi hiyo elimu mnayopata muitumie kulisaidia taifa zaidi kuliko kuangalia maslahi binafsi. Wingi wa wasomi ungeendana na matumizi na usimamizi wa rasilimali za nchi, duh! tungekuwa mbali.Zito lakini ndo maandalizi ya wadhifa wa juu serikali au??!!!
 

Aisee mi nafkiri Masters inatosha labda kama anataka kwenda kufundisha, nchi ya ajabu sana hii maana maProf wote wanakimbilia SI-HASA.

By the way, all the best ndugu Zitto Kabwe, Allah akufanyie wepesi In Sha Allah
 
Mkuu kichekesho wanahoji digrii ya Zitto mbona mbona hawahoji mboweee hana hata dv 5 ? Chuki zao ni buree ZITTO ANANG'ARA NA INSHAALLAH ATAZIDI KUNG'ARA.
 
Echo kijana madhuhuri taifa linakutegemea licha ya misukosuko ya hapa na pale, bali Mungu yu pamoja nawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…