Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
OKTOBA TUNA ✔️Zitto anazidi kutoa shule huko X kwa wananchi wanaohoji ni kwa vipi watafanikiwa na operereshin yao ya #lindaKura
"Kwa lugha nyepesi: tutalinda kura kwenye kituo cha kupigia kura kwa kupiga kura, kusimamia ikihesabiwa na matokeo kubandikwa.
- hakuna kura bandia itaingia kituoni
- hakuna wakala wa @ACTwazalendo atazuiwa kuingia kituoni
- hakuna Msimamizi Msaidizi wa kituo atakayegomea karatasi ya matokeo
Oktoba, #LindaKura" - Zitto Kabwe
View attachment 3369563
Kwanini mkuu?OKTOBA TUNA ✔️
Na ndicho kitu watu wanachouliza watalindaje? Mwamba anatupangaHuyo tapeli atakuwa ameahidiwa jimbo. Sheria inataka ukipiga kura uende nyumbani, hizo kura watalinda kwa 'bluetooth'?
Apunguze utapeli huyo dalali wa siasa. 2019, 2020 na 2024 ushindwe kulinda ndio uje kulinda leo?
Na kwa taarifa yake hata SSH aseme "mwachieni jimbo huyo" hatoachiwa na CCM wa jimbo hilo. Wanaiba 100% safari hii.
ZITTO NI MIONGONI WA VIONGOZI WAPUMBAVU WA UPINZANI, KWA TUME IPI? HII YA CCMZitto anazidi kutoa shule huko X kwa wananchi wanaohoji ni kwa vipi watafanikiwa na operereshin yao ya #lindaKura
"Kwa lugha nyepesi: tutalinda kura kwenye kituo cha kupigia kura kwa kupiga kura, kusimamia ikihesabiwa na matokeo kubandikwa.
- hakuna kura bandia itaingia kituoni
- hakuna wakala wa @ACTwazalendo atazuiwa kuingia kituoni
- hakuna Msimamizi Msaidizi wa kituo atakayegomea karatasi ya matokeo
Oktoba, #LindaKura" - Zitto Kabwe
View attachment 3369563
Serikali za mtaa walisoma hadi Dua nakuchinja ngamia hizi siasa zakilaghai ndio zimetuchelewesha sana inasikitisha, hivi kama wapinzani wote wangekua na sauti moja wakaungana kudai reform sisiemu wangepata wapi nguvu yakufanya uchaguzi peke yao? Ila kwkaua wameamua kuhujumu harakati ndio mana 700+ billion zimetengwa kwa so called uchaguziZitto anazidi kutoa shule huko X kwa wananchi wanaohoji ni kwa vipi watafanikiwa na operereshin yao ya #lindaKura
"Kwa lugha nyepesi: tutalinda kura kwenye kituo cha kupigia kura kwa kupiga kura, kusimamia ikihesabiwa na matokeo kubandikwa.
- hakuna kura bandia itaingia kituoni
- hakuna wakala wa @ACTwazalendo atazuiwa kuingia kituoni
- hakuna Msimamizi Msaidizi wa kituo atakayegomea karatasi ya matokeo
Oktoba, #LindaKura" - Zitto Kabwe
View attachment 3369563
..kama CUF na ACT walishindwa yote hayo chaguzi zilizopita tusitarajie miujiza ktk uchaguzi wa 2025.
..eneo dogo tu la ZANZIBAR walishindwa kulinda kura, sasa itakuwaje ktk TANGANYIKA nzima, na katika kipindi ambapo vyombo vya DOLA ni sawa na jumuiya ya Ccm?
Mkuu ACT hawatafanikiwa, ila na chadema pia hawatafinikiwa. CCM sio wepesiwepesi kabisa.
Sio ccm, sema vyombo vya dola. Na kwakuwa wapinzani bado wanafanya siasa za mdomo, wataendelea kuburuzwa. Lugha inayoeleweka kirahisi kwa chama kama ccm ni wafanyacho M23.Mkuu ACT hawatafanikiwa, ila na chadema pia hawatafinikiwa. CCM sio wepesiwepesi kabisa.
Now you are talking.Sio ccm, sema vyombo vya dola. Na kwakuwa wapinzani bado wanafanya siasa za mdomo, wataendelea kuburuzwa. Lugha inayoeleweka kirahisi kwa chama kama ccm ni wafanyacho M23.
Hiyo hata Zanzibar hawataweza achilia mbali huku kwa akina ponjoro
Huyu dogo (Zitto) ni msanii tu, na msikute wala haamini anachokisema, anapotosha tu Watanzania. Huyu ni kibaraka wa chama tawala kitambo tu, anacheza na akili za Watanzania wasiomjuwa.Zitto anazidi kutoa shule huko X kwa wananchi wanaohoji ni kwa vipi watafanikiwa na operereshin yao ya #lindaKura
"Kwa lugha nyepesi: tutalinda kura kwenye kituo cha kupigia kura kwa kupiga kura, kusimamia ikihesabiwa na matokeo kubandikwa.
- hakuna kura bandia itaingia kituoni
- hakuna wakala wa @ACTwazalendo atazuiwa kuingia kituoni
- hakuna Msimamizi Msaidizi wa kituo atakayegomea karatasi ya matokeo
Oktoba, #LindaKura" - Zitto Kabwe
View attachment 3369563
Maadali waliyosaini yanasemaje?"Kwa lugha nyepesi: tutalinda kura kwenye kituo cha kupigia kura kwa kupiga kura, kusimamia ikihesabiwa na matokeo kubandikwa.