PreGE2025 Zitto atoa shule kwa lugha nyepesi kuhusu operesheni yao kwa ambao hamkuelewa

PreGE2025 Zitto atoa shule kwa lugha nyepesi kuhusu operesheni yao kwa ambao hamkuelewa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huyu ni Mzee wa Porojo hana HOJA, sana sana atashiriki katika HARAMU/UBATILI..asubiri kajimbo chake,
 
..kama CUF na ACT walishindwa yote hayo chaguzi zilizopita tusitarajie miujiza ktk uchaguzi wa 2025.J

..eneo dogo tu la ZANZIBAR walishindwa kulinda kura, sasa itakuwaje ktk TANGANYIKA nzima, na katika kipindi ambapo vyombo vya DOLA ni sawa na jumuiya ya Ccm?
Kama jecha allfuta matokeo. Kwani akina Jecha wameisha CCM?
 
ACT ni CCM -B , kwenye zile kanuni
za maadili.

Ukiachilia hicho kipengele ambacho nimeambatanisha kinachowasidia CCM kufanikisha wizi .

Kuna kifungu kinasema watu wakipiga kura watawanyike kituoni.

Sasa CCM -B muda wanasaini walikuwa wamelewa?
IMG-20250615-WA0000.jpg
 
Zito ulishiriki uchaguzi wa marudio kwa kugombea Ubunge,

Aliibiwa kura na hakuna ya chochote huyo Agent
 
Uchaguzi wa mwaka huu ni pata shika nguo kuchanika, Mara tutàipeleka ccm mpela mpela mpaka wateme bungo John Mrema, mwingine ACT ikishinda polisi wote watamiliki magorofa na cruza, Zitto nae watahakikisha hakuna kura itakayo ibiwa. Utafikiri wamedondoka leo na kutua Tanzania kutokea ahera. Ila tusiwabishie wacha tusubiri October siyo mbali.
 
..ACT wangeungana na Chadema kwenye NRNE uwezekano wa mabadiliko kupatikana ungekuwa mkubwa.

..Chadema wakiungana na ACT katika kulinda kura siku ya uchaguzi nadhani hakutakuwa na mafanikio yoyote.

Hiyo sera ya Chadema NTNE ni ya mitandaoni tu, Chadema hawawezi kuzuia uchaguzi. CCM watuchukua nchi na hawatashughulika. CUF walishasusia mara 2 uchaguzi Zanzibar hakuna kilichokua.
 
Hiyo sera ya Chadema NTNE ni ya mitandaoni tu, Chadema hawawezi kuzuia uchaguzi. CCM watuchukua nchi na hawatashughulika. CUF walishasusia mara 2 uchaguzi Zanzibar hakuna kilichokua.
SUBIRI MWAKA HUU UTAONA

CHADEMA KWASASA HATUNA CHA KUPOTEZA
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE PANGA MTARI KUPIGA KURA
 
Hiyo sera ya Chadema NTNE ni ya mitandaoni tu, Chadema hawawezi kuzuia uchaguzi. CCM watuchukua nchi na hawatashughulika. CUF walishasusia mara 2 uchaguzi Zanzibar hakuna kilichokua.

..Na CDM, ACT, CUF, wameshiriki uchaguzi mara nyingi na dhuluma hazijakoma. Sasa kwanini unaamini wakishiriki mwaka huu udhalimu utakomeshwa.

..kugomea uchaguzi hakukuzaa matunda huko nyuma kwasababu kiligomea chama kimoja, na waligomea upande mmoja wa muungano.

..mimi hoja yangu ni kwamba wangegomea wengi zaidi, au hata vyama viwili vikubwa vya upinzani, na wagomee pande zote za muungano, tungeweza kupata mabadiliko.
 
Zitto anazidi kutoa shule huko X kwa wananchi wanaohoji ni kwa vipi watafanikiwa na operereshin yao ya #lindaKura

"Kwa lugha nyepesi: tutalinda kura kwenye kituo cha kupigia kura kwa kupiga kura, kusimamia ikihesabiwa na matokeo kubandikwa.

  • hakuna kura bandia itaingia kituoni
  • hakuna wakala wa @ACTwazalendo atazuiwa kuingia kituoni
  • hakuna Msimamizi Msaidizi wa kituo atakayegomea karatasi ya matokeo

Oktoba, #LindaKura" - Zitto Kabwe

View attachment 3369563

Dalali, Hana haja ya kujieleza
 
..Na CDM, ACT, CUF, wameshiriki uchaguzi mara nyingi na dhuluma hazijakoma. Sasa kwanini unaamini wakishiriki mwaka huu udhalimu utakomeshwa.

..kugomea uchaguzi hakukuzaa matunda huko nyuma kwasababu kiligomea chama kimoja, na waligomea upande mmoja wa muungano.

..mimi hoja yangu ni kwamba wangegomea wengi zaidi, au hata vyama viwili vikubwa vya upinzani, na wagomee pande zote za muungano, tungeweza kupata mabadiliko.

Mkuu CCM unawachukuliaji? wapo tayari kuuwa kila mtu lakini wasitoke madarakani, hizo ngoma sijui za kugomea kwao wao sio kikwazo cha msingi kwao.
 
Mkuu CCM unawachukuliaji? wapo tayari kuuwa kila mtu lakini wasitoke madarakani, hizo ngoza sijui za kugomea kwao wao sio kikwazo cha msingi kwao.

..tunapaswa kujaribu kitu kipya.

..mgomo wa vyama vikuu vya upinzani Tanganyika na Zanzibar.

..Cuf waligoma peke yao, na waligoma Zanzibar tu.

..uchaguzi wa muungano[ Tanganyika ] haujawahi kugomewa.

..Mgomo wa Cuf ulikuwa na athari kwani ulilazimisha serikali ya muungano [ Tanganyika ]kuibeba kwa kiwango kikubwa serikali ya Zanzibar.

..Wafadhili waliendelea kutambua uchaguzi wa muungano[ Tanganyika ], na kutotambua wa Zanzibar, na hiyo ikapunguza athari za mgomo wa Cuf.
 
Serikali za mtaa walisoma hadi Dua nakuchinja ngamia hizi siasa zakilaghai ndio zimetuchelewesha sana inasikitisha, hivi kama wapinzani wote wangekua na sauti moja wakaungana kudai reform sisiemu wangepata wapi nguvu yakufanya uchaguzi peke yao? Ila kwkaua wameamua kuhujumu harakati ndio mana 700+ billion zimetengwa kwa so called uchaguzi

No reform No Election
Nakumbuka huko nchi ya misri vyama vyote viligoma kushiriki uchaguzi.kilichofanyika tuliona waziri mkuu wa misri alijifanya kugombana na bosi wake na kujiuzulu na kuanzisha chama ambacho kilishiriki uchaguzi ambao vyama vingine viliugomea.
 
Now you are talking.

Nilisema humu bila military wing kwenye vyama vya siasa ni ujinga.
Angalia alichoandika Zitto ukiwa mjinga utamuona wa maana.

Serikali iliisha sema hakuna mtu kulinda kura, hilo ni jukumu la Tume Huru ya uchaguzi.

Pia Jeshi la polisi liliisha sema mara nyingi jukumu ;la ulinzi ni lao siyo la vyama vya siasa.

Leo anataka kujiona shujaa kuongea waliyoongea Chadema miaka nenda rudi na hayakuleta matokeo yoyote zaidi ya watu kuvunjwa miguu na wengine kufa kabisa.

Dawa ni ile ile No Reforms No Election. Au kuilinda kura ni kubaki nayo mwenyewe.

Hiyo sio dawa, history inaonesha hivyo. Usipopiga utapigiwa huo ndio mfumo wa CCM.
 
..tunapaswa kujaribu kitu kipya.

..mgomo wa vyama vikuu vya upinzani Tanganyika na Zanzibar.

..Cuf waligoma peke yao, na waligoma Zanzibar tu.

..uchaguzi wa muungano[ Tanganyika ] haujawahi kugomewa.

..Mgomo wa Cuf ulikuwa na athari kwani ulilazimisha serikali ya muungano [ Tanganyika ]kuibeba kwa kiwango kikubwa serikali ya Zanzibar.

..Wafadhili waliendelea kutambua uchaguzi wa muungano[ Tanganyika ], na kutotambua wa Zanzibar, na hiyo ikapunguza athari za mgomo wa Cuf.

Mkuu Lissu mwenyewe anaelewa kugomea uchaguzi haitowarudisha nyuma CCM, na ndio mana akaja na kitu no election kwa maana watahakikisha wanazuia uchaguzi kitu amabacho hata yeye anaelewa kuwa hawawezi kufanya.

Kwa kifupo suluhisho la hapa nchini ni kuingia mwituni tu, Mana CCM achilia kutoa nchi hawapo tayari ya hata kukosa 2/3 ndani ya bunge tena.
 
Back
Top Bottom