PreGE2025 Zitto atoa shule kwa lugha nyepesi kuhusu operesheni yao kwa ambao hamkuelewa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huyu ni Mzee wa Porojo hana HOJA, sana sana atashiriki katika HARAMU/UBATILI..asubiri kajimbo chake,
 
Kama jecha allfuta matokeo. Kwani akina Jecha wameisha CCM?
 
Ukimuona zito kama LIPUMBAVU Fulani itakusaidia kutopoteza Muda
 
ACT ni CCM -B , kwenye zile kanuni
za maadili.

Ukiachilia hicho kipengele ambacho nimeambatanisha kinachowasidia CCM kufanikisha wizi .

Kuna kifungu kinasema watu wakipiga kura watawanyike kituoni.

Sasa CCM -B muda wanasaini walikuwa wamelewa?
 
Zito ulishiriki uchaguzi wa marudio kwa kugombea Ubunge,

Aliibiwa kura na hakuna ya chochote huyo Agent
 
Uchaguzi wa mwaka huu ni pata shika nguo kuchanika, Mara tutàipeleka ccm mpela mpela mpaka wateme bungo John Mrema, mwingine ACT ikishinda polisi wote watamiliki magorofa na cruza, Zitto nae watahakikisha hakuna kura itakayo ibiwa. Utafikiri wamedondoka leo na kutua Tanzania kutokea ahera. Ila tusiwabishie wacha tusubiri October siyo mbali.
 
..ACT wangeungana na Chadema kwenye NRNE uwezekano wa mabadiliko kupatikana ungekuwa mkubwa.

..Chadema wakiungana na ACT katika kulinda kura siku ya uchaguzi nadhani hakutakuwa na mafanikio yoyote.

Hiyo sera ya Chadema NTNE ni ya mitandaoni tu, Chadema hawawezi kuzuia uchaguzi. CCM watuchukua nchi na hawatashughulika. CUF walishasusia mara 2 uchaguzi Zanzibar hakuna kilichokua.
 
Hiyo sera ya Chadema NTNE ni ya mitandaoni tu, Chadema hawawezi kuzuia uchaguzi. CCM watuchukua nchi na hawatashughulika. CUF walishasusia mara 2 uchaguzi Zanzibar hakuna kilichokua.
SUBIRI MWAKA HUU UTAONA

CHADEMA KWASASA HATUNA CHA KUPOTEZA
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE PANGA MTARI KUPIGA KURA
 
Hiyo sera ya Chadema NTNE ni ya mitandaoni tu, Chadema hawawezi kuzuia uchaguzi. CCM watuchukua nchi na hawatashughulika. CUF walishasusia mara 2 uchaguzi Zanzibar hakuna kilichokua.

..Na CDM, ACT, CUF, wameshiriki uchaguzi mara nyingi na dhuluma hazijakoma. Sasa kwanini unaamini wakishiriki mwaka huu udhalimu utakomeshwa.

..kugomea uchaguzi hakukuzaa matunda huko nyuma kwasababu kiligomea chama kimoja, na waligomea upande mmoja wa muungano.

..mimi hoja yangu ni kwamba wangegomea wengi zaidi, au hata vyama viwili vikubwa vya upinzani, na wagomee pande zote za muungano, tungeweza kupata mabadiliko.
 

Dalali, Hana haja ya kujieleza
 

Mkuu CCM unawachukuliaji? wapo tayari kuuwa kila mtu lakini wasitoke madarakani, hizo ngoma sijui za kugomea kwao wao sio kikwazo cha msingi kwao.
 
Mkuu CCM unawachukuliaji? wapo tayari kuuwa kila mtu lakini wasitoke madarakani, hizo ngoza sijui za kugomea kwao wao sio kikwazo cha msingi kwao.

..tunapaswa kujaribu kitu kipya.

..mgomo wa vyama vikuu vya upinzani Tanganyika na Zanzibar.

..Cuf waligoma peke yao, na waligoma Zanzibar tu.

..uchaguzi wa muungano[ Tanganyika ] haujawahi kugomewa.

..Mgomo wa Cuf ulikuwa na athari kwani ulilazimisha serikali ya muungano [ Tanganyika ]kuibeba kwa kiwango kikubwa serikali ya Zanzibar.

..Wafadhili waliendelea kutambua uchaguzi wa muungano[ Tanganyika ], na kutotambua wa Zanzibar, na hiyo ikapunguza athari za mgomo wa Cuf.
 
Nakumbuka huko nchi ya misri vyama vyote viligoma kushiriki uchaguzi.kilichofanyika tuliona waziri mkuu wa misri alijifanya kugombana na bosi wake na kujiuzulu na kuanzisha chama ambacho kilishiriki uchaguzi ambao vyama vingine viliugomea.
 

Hiyo sio dawa, history inaonesha hivyo. Usipopiga utapigiwa huo ndio mfumo wa CCM.
 

Mkuu Lissu mwenyewe anaelewa kugomea uchaguzi haitowarudisha nyuma CCM, na ndio mana akaja na kitu no election kwa maana watahakikisha wanazuia uchaguzi kitu amabacho hata yeye anaelewa kuwa hawawezi kufanya.

Kwa kifupo suluhisho la hapa nchini ni kuingia mwituni tu, Mana CCM achilia kutoa nchi hawapo tayari ya hata kukosa 2/3 ndani ya bunge tena.
 
Zitto ni mzalendo. Huyu ni mwanasiasa wa viwango vya juu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…