Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mmoja wa wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea ubunge wa Kigoma Mjini kupitia tiketi ya ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, uliofanyika kata ya Buhanda, alimpa changamoto kwa kumuuliza:
"Ubunge tukupe wewe, lakini urais tumpe nani endapo chama chenu hakitasimamisha mgombea wa urais?"
Akijibu swali hilo, Zitto amesema wananchi hao kwa sasa hawajapata muafaka kuhusu mgombea wao wa Urais, hivyo wachague Mbunge na madiwani wa ACT-Wazalendo, akisisitiza kuwa chama chake kimejipanga kuhakikisha kinatoa uwakilishi imara katika ngazi hizo.