Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kamwaribia sana abdul nondo inshort hakuna mtu mwenye utimamu wa akili anamzingatia zitto kabweNikikumbuka Zitto kabwe alivyokuwa role model wa young leaders hadi wanajiita jina lake. Daaahh walahi🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Madhara ya kujipiga kidole kisha kujinusa kubabek kugeuka chawa na una chama chako ni upimbi watu wanakuona wewe ni ndeziNikikumbuka Zitto kabwe alivyokuwa role model wa young leaders hadi wanajiita jina lake. Daaahh walahi🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Never trust MuslimNikikumbuka Zitto kabwe alivyokuwa role model wa young leaders hadi wanajiita jina lake. Daaahh walahi🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Hadi mwamba na mzee wa tafrija ? 😁Never trust Muslim
Kamwaribia sana abdul nondo inshort hakuna mtu mwenye utimamu wa akili anamzingatia zitto kabwe
Nikikumbuka Zitto kabwe alivyokuwa role model wa young leaders hadi wanajiita jina lake. Daaahh walahi🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Tatizo la Zitto ni kujidinyaMadhara ya kujipiga kidole kisha kujinusa kubabek kugeuka chawa na una chama chako ni upimbi watu wanakuona wewe ni ndezi
Nadhani vijana kama Nondo wanaishi kwa ahadi hewa za Zitto, ndoto zake za siasa zinakufa akiwa na Zitto.Kamwaribia sana abdul nondo inshort hakuna mtu mwenye utimamu wa akili anamzingatia zitto kabwe
Aliendekeza tamaa ya fedha, nyama na pombe za bure.Nikikumbuka Zitto kabwe alivyokuwa role model wa young leaders hadi wanajiita jina lake. Daaahh walahi[emoji1487][emoji1487][emoji1487]
Mmoja wa wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea ubunge wa Kigoma Mjini kupitia tiketi ya ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, uliofanyika kata ya Buhanda, alimpa changamoto kwa kumuuliza:
"Ubunge tukupe wewe, lakini urais tumpe nani endapo chama chenu hakitasimamisha mgombea wa urais?"
Akijibu swali hilo, Zitto amesema wananchi hao kwa sasa hawajapata muafaka kuhusu mgombea wao wa Urais, hivyo wachague Mbunge na madiwani wa ACT-Wazalendo, akisisitiza kuwa chama chake kimejipanga kuhakikisha kinatoa uwakilishi imara katika ngazi hizo.
Kama zanzibar mpaka unawaonea huruma ule upinzani umeshakufaNadhani vijana kama Nondo wanaishi kwa ahadi hewa za Zitto, ndoto zake za siasa zinakufa akiwa na Zitto.
Zitto kaua siasa za upinzani Zanzibar, tofauti na wakati wa Maalim Seif, sasa hivi wameridhika kuwa sehemu ya SUK tu.
Wanasiasa nguli kama Jussa na wengine wako kama vivuli tu