GE2025 Zitto aulizwa na Wananchi, Kura za "Urais tumpe nani?"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Zito anaonekana ni pumba tu kigoma mjini watampa mwana ccm baba levo kama watazingatia kauli ya kikwete
 
Hajajibu swali. Ansogopa kumuudhi mama yake. Mpina kishajua mchezo ndiyo maana kasusia kampeni zao zote.
Mpina na yeye alichemka, hata km afanyw kampeni ndo angepata urais? Yaan Lowassa mwenye Wafuasi nchi hii na alishindwa, ndo iwe Mpina?

Yeye angegombea ubunge, mbna angepita asubuhi tyuuh.
 

Luhaga Mpina amepata ugombea wa urais QCT Wazalendo bila kifuata utaratibu wa ACT.

Ukifuatilia sakata la Monalisa na ACT, mpaka kwa msajili, na jinsi ACT walivyoshindwa kujieleza kujibu hoja za Monalisa, hili lipo wazi.

Hivi Zitto Kabwe hakujua kuwa Mpina kapewa nafasi ya kugombea urais ACT bila kufuata utaratibu wa ACT wenyewe?

Kama hakujua, huo si uzembe?

Au alijua akalazimisha tu?

Kama alijua akalazimisha tu, kwa nini amefanya hivyo?
 
Nikikumbuka Zitto kabwe alivyokuwa role model wa young leaders hadi wanajiita jina lake. Daaahh walahi🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Unaongelea Zitto wa 2005'-2015 sio?

Mpaka Kala jelemaya akampa sifa kwenye ngoma yake ya "wimbo wa Taifa"

Ngoja tusubiri labda kuna siku na yeye atarejea baada ya kuchoka kutumikia tumbo, kama ambavyo Pole pole amerejea.

Pole pole huyu wa sasa ndio yule Pole pole tuliyemuona mwaka 2012 kwenye mchakato wa katiba mpya.
 
Nikikumbuka Zitto kabwe alivyokuwa role model wa young leaders hadi wanajiita jina lake. Daaahh walahi🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Sasahivi anapita njia za Lipumba🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…