Zitto awasilisha Bungeni hoja kuhusu Zimbabwe

Zitto awasilisha Bungeni hoja kuhusu Zimbabwe

Kuna wageni humo ndani ya bunge!
Nyie subirini tu!
Yani kuna watu kweli wananfikiri Tanzania yote imerogwa?
 
I am not implying anything on whether Mugabe recalled his Ambassador to Dar or not.

Just pointing out that it is not uncommon for a country to recall its ambassador as a form of protest and retaining diplomatic relations with the country where the ambassador is being recalled from.

In other words, one country does not need to close it's embassy as implied by some here in order to recall its ambassador.The recall letter may only mention recalling an ambassador and not mention anything about savoring diplomatic relations.

The US Amnassador to Armenia caused a furore over there and The State Department recalled him see http://www.anca.org/press_releases/press_releases.php?prid=914

The US Ambassador to Belarus was recalled for "short consultation"
http://www.charter97.org/en/news/2008/3/12/4716/

The question is, did Kikwete receive a recall letter from Mugabe?
 
Just pointing out that it is not uncommon for a country to recall its ambassador as a form of protest and retaining diplomatic relations with the country where the ambassador is being recalled from.

The question is, did Kikwete receive a recall letter from Mugabe?

Ndio maana nikasema tungetegemea communication ya severance of ties - au - protest ya kumuita balozi. Nilikuwa extremely careful in wording my "hope and prayer for Zitto"

Mbili, huwezi ukamwita nyumbani balozi wako as a form of protest kama unafanya kimya kimya. Hiyo itakuwa haina maana ya protest. Ina defeat the purpose. Hicho kitu ni unheard of.

Tatu, mifano yote miwili uliyotoa hapo inahusisha visible public pronouncements kwamba nchi husika imemwita balozi wao nyumbani. Hazijaficha ficha.

Nne, unakosea unaposema kwamba Harare wakimwita Balozi wao, kwa mfano kwa consultation, kama mfano mmoja uliotoa kwenye link, basi ni lazima watume barua Dar-es-Salaam. Nchi inaweza kutoa public statement yoyote ile, kama vile "Zimbabwe inaangamia, Mugabe aache fujo kwa wapinzani, tunapeleka majeshi, na tumemwita balozi wetu nyumbani" na huo ni ujumbe tosha wa kidiplomasia kwa Mugabe. Sio lazima kuandikiana ujumbe, sio kwa vipeperushi, hawala ya ujumbe, au njiwa wa salamu.

Here is my point: Kama Harare wamemwita balozi wao kisiri siri, hiyo sio diplomatic recall.

Mhe. Zitto kapata wapi habari kwamba Harare wana protest au wana sever ties with Dar-es-Salaam?
 
Ndio maana nikasema tungetegemea communication ya severance of ties - au - protest ya kumuita balozi. Nilikuwa extremely careful in wording by "hope and prayer for Zitto"

Mbili, huwezi ukamwita nyumbani balozi wako as a form of protest kama unafanya kimya kimya. Hiyo itakuwa haina maana ya protest. Ina defeat the purpose. Hicho kitu ni unheard of.

Tatu, mifano yote miwili uliyotoa hapo inahusisha visible public pronouncements kwamba nchi husika imemwita balozi wao nyumbani. Hazijaficha ficha.

Nne, unakosea unaposema kwamba Harare wakimwita Balozi wao, kwa mfano kwa consultation, kama mfano mmoja uliotoa kwenye link, basi ni lazima watume barua Dar-es-Salaam. Nchi inaweza kutoa public statement yoyote ile, kama vile "Zimbabwe inaangamia, Mugabe aache fujo kwa wapinzani, tunapeleka majeshi, na tumemwita balozi wetu nyumbani" na huo ni ujumbe tosha wa kidiplomasia kwa Mugabe. Sio lazima kuandikiana ujumbe, sio kwa vipeperushi, hawala ya ujumbe, au njiwa wa salamu.

Here is my point: Kama Harare wamemwita balozi wao kisiri siri, hiyo sio diplomatic recall

Mhe. Zitto kapata wapi habari kwamba Harare wana protest au wana sever ties with Dar-es-Salaam?

My point was disputing the implication that a diplomatic recall must involve closing the entire embassy.

Kama Harare wamemwita balozi wao nyumbani, iweje wabakize staff wengine Tanzania wanajibu maswali kuhusu whereabouts za balozi? Si shughuli za kibalozi zingesitishwa immediately, Ubalozi wao ungefungwa kwa sasa? Vinginevyo kuita balozi nyumbani si kungekuwa hakuna maana?

Simply that, we know know that to NOT be the case.
 
Wakati wengine wana haki ya kuuliza wapi taarifa flani flani zimetoka...Na sisi pia tuna haki ya kuuliza kivipi taarifa flani flani zilitolewa kwa makaburu kabla ya kupewa wazalendo!
 
Pundit,
Kifupi mkuu hii inaonyesha wazi kuwa Membe alichemsha ktk hutuba yake!....

Na nikirudi ktk swala la Zitto bado najiuliza Kikwete na CCM wamesimama upande gani ktk swala la Zimbabwe?..kupeleka hoja bungeni sii hoja ila nadhani swala hili ni zito kuliko tunavyoliona sisi.

Nadhani msimamo wa JK ni muhimu zaidi kuufahamu...Kwa sababu fujo zinazoendelea Zimbabwe zinafanywa na wanachama wa ZANU PF ambao kama ilivyokuwa wahuni wa South Afrika wakiua wageni ni alama tosha ya kwamba serikali zao zimeshindwa kutumia nguvu ya dola kusimamisha amani..Kwa hiyo pendekezo la kupeleka jeshi linaweza kuwa kwa faida ya Mugabe..

Mugabe kama rais wa zamani wa Haiti, Jean-Bertrand Aristide wanatumia sana wahuni, majambazi ama kwa jina lao wenyewe wapigania Uhuru kufanya maovu mengi.
 
that is only for public consumption. the real reason ni kwamba mugabe amechukizwa na matamshi ya membe.
 
Back
Top Bottom