Ndio maana nikasema tungetegemea communication ya severance of ties - au - protest ya kumuita balozi. Nilikuwa extremely careful in wording by "hope and prayer for Zitto"
Mbili, huwezi ukamwita nyumbani balozi wako as a form of protest kama unafanya kimya kimya. Hiyo itakuwa haina maana ya protest. Ina defeat the purpose. Hicho kitu ni unheard of.
Tatu, mifano yote miwili uliyotoa hapo inahusisha visible public pronouncements kwamba nchi husika imemwita balozi wao nyumbani. Hazijaficha ficha.
Nne, unakosea unaposema kwamba Harare wakimwita Balozi wao, kwa mfano kwa consultation, kama mfano mmoja uliotoa kwenye link, basi ni lazima watume barua Dar-es-Salaam. Nchi inaweza kutoa public statement yoyote ile, kama vile "Zimbabwe inaangamia, Mugabe aache fujo kwa wapinzani, tunapeleka majeshi, na tumemwita balozi wetu nyumbani" na huo ni ujumbe tosha wa kidiplomasia kwa Mugabe. Sio lazima kuandikiana ujumbe, sio kwa vipeperushi, hawala ya ujumbe, au njiwa wa salamu.
Here is my point: Kama Harare wamemwita balozi wao kisiri siri, hiyo sio diplomatic recall
Mhe. Zitto kapata wapi habari kwamba Harare wana protest au wana sever ties with Dar-es-Salaam?