Zitto awasilisha mapendekezo kuhusu namna bora ya kukabiliana na virusi vya Corona

Zitto awasilisha mapendekezo kuhusu namna bora ya kukabiliana na virusi vya Corona

March 29, 2020

Mh. Zitto Kabwe akihutubia taifa kuhusu ugonjwa wa COVID - 19 unao sababishwa na virusi vya coronavirus na kutoa ushauri ya namna bora Tanzania kama taifa inavyoweza kupambana na gonjwa hili hatari.

Source : Weyani TV

Huyo msaliti ahutubie taifa lipi? Labda taifa la ACT Wazalendo!
 
Huyo msaliti ahutubie taifa lipi? Labda taifa la ACT Wazalendo!
Kama hata tusiokuwa ACT tunafuatilia kuliko zile hotuba za magogoni basi anahutubia taifa.
Na ndio njia sahihi kwa sasa, kiongozi wa upinzani akitaka hotuba yake tuipate awe anatoa muda na itarushwa mitandao gani ya jamii kisha kila mtu kwa simu yake anakula neno kwa raha zake
 
March 29, 2020

Mh. Zitto Kabwe akihutubia taifa kuhusu ugonjwa wa COVID - 19 unao sababishwa na virusi vya coronavirus na kutoa ushauri ya namna bora Tanzania kama taifa inavyoweza kupambana na gonjwa hili hatari.

Source : Weyani TV

Huyu ndiye KUB!
 
Zito Inje ya Chadema ni garasa tu, sijui shetani gani alipita akafarakanisha muungano uliokuwepo enzi hizo, huku utamkuta Zitto, pale Lisu, kushoto Lema, kulia Mdee, Mbele Mzee wa busara mstarabu Mr Mbowe, kiungo pale Mdee na kocha akiwa ni Dakitari Silaa, ki ukweli bila kuficha CCM walikuwa matumbo joto,

Kwa sasa hamna makali tena, hakuna namna CCM Kwa uchaguzi mwaka huu, ni kama kunywa chai tu na huo ndo ukweli wenyewe
 
March 29, 2020

Mh. Zitto Kabwe akihutubia taifa kuhusu ugonjwa wa COVID - 19 unao sababishwa na virusi vya coronavirus na kutoa ushauri ya namna bora Tanzania kama taifa inavyoweza kupambana na gonjwa hili hatari.

Source : Weyani TV

Amehutubia wapi?
 
Huyo msaliti ahutubie taifa lipi? Labda taifa la ACT Wazalendo!
Acha ujinga! Zito kabwe hajawahi kuwa msaliliti wa chama au taiga!! Tatizo mnatumia akili za akina lema na polepole kuwa jaji watu! Muulize hata pascal anajua namna gani ambavyo zito ni non- current asset kwenye taifa hili
 
Taifa#taiga
 
Huyu ni mpuuzi tu eti anahutubia taifa. Nchi hii mwenye kuhutubia taifa ni mmoja tu whether you like or not
 
Nadhani mwandishi haja kosea, wakati Zitto Kabwe anatoa hotuba juu ya kupambana na virusi vya Corona alihusisha masikio ya wananchi wote na taifa kwa ujumla, na ndio maana akasema anahotubia taifa. sasa hyo sio point ya msingi, cha msingi ni tafakur zake na ushaur aliyoutoa tuufanyie kazi, ili kupunguza maambukizi ya gonjwa hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amehutubia sasa, wewe unatakaje,na wewe kahutubie nyumbani kwako kama unacho cha kuhutubia.Jinga wewe
Kwa ufahamu wako ,watu watahitaji kujua kiwango chako cha elimu, Mimi sihitaji kujua hilo kwa sababu jibu ninalo
 
Back
Top Bottom