Zitto awasilisha mapendekezo kuhusu namna bora ya kukabiliana na virusi vya Corona

hahaaha zito aongea na waaandishi wa habari, hii kuhutubia taifa haijakaa sawa
 
Zitto Hana mamlaka ya kuhutubia taifa ila mamlaka ya kuhutubia Wana -ACT anayo.
Kauli yako inaweza kuwa na mashiko kama zito angekuwa Mubashara kwenye televisheni moja au zaidi. Lakini kwa njia hiyo ya mtandao? Hata wewe unaweza.
 
Huyu anahutubia taifa maana hotuba anayosoma na hoja zake ni za kitaifa pia kwa kweli hotuba yake ni nzuri kulinganisha na wale wanatoa matamko huku wakiongea na 'wanyonge' .
 
Kupima ni gharama sana
 
March 29, 2020

Mh. Zitto Kabwe akihutubia taifa kuhusu ugonjwa wa COVID - 19 unao sababishwa na virusi vya coronavirus na kutoa ushauri ya namna bora Tanzania kama taifa inavyoweza kupambana na gonjwa hili hatari.


Source : Weyani TV
Nini maana ya kuhutubia taifa, na ani nani anaweza kuhutubia taifa?
 
Asante sana, ujumbe mzuri
P
Tanzania ni yetu soote mawazo maoni na kutoa elimu kwa wengine kubwa kuliko yote ni kumrudia MUNGU na kusali maaana kwa jicho la tatu Wenzetu ulaya wana miundo mbinu mizuri hela wengine walikuwa na uwezo wa kwenda popote Duniani kujifungia na kuepuka hili janga lakini tumeona hela sio kitu lipo fumbo maasi yamezidi na ni chukizo mbele za Mungu tuombeane Amani na afya njema hakika Mungu ni Mwema kila wakati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upinzani bhana shida sana Juzi hapa mmoja wenu katajwa kwamba ana Covid-19 mmekuja juu, sasa mnataka tena serikali iwataje mbona vigeugeu nyie

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kujitoa ufahamu huu ugonjwa hauchagui wewe ni mpagani ,ccm sijui cdm ikija inaitwa zoazoa ndio maana mnahitaji elimu mtambuka maana mnaweka masihara kwenye bomu lenye utambi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema "Zitto aongea na waandishi wa habari".


Zitto ahutubia watanzania kupitia wanahabari, watanzania ndio taifa la Tanzania.

Hata wewe unaweza kuhutubia taifa kwa jambo la kitaifa mfano Ugonjwa wa Corona nk.
 
Zitto ahutubia watanzania kupitia wanahabari, watanzania ndio taifa la Tanzania.

Hata wewe unaweza kuhutubia taifa kwa jambo la kitaifa mfano Ugonjwa wa Corona nk.
Hapana huwezi ku adress nchi labda kama umemkaimu mkuu wa nchi. Ndivyo ninavyojua mimi. Kama nakosea nifundisheni.
 
Hapana huwezi ku adress nchi labda kama umemkaimu mkuu wa nchi. Ndivyo ninavyojua mimi. Kama nakosea nifundisheni.


Kumbuka huyo zitto ni mkuu wa chama cha siasa chama cha kitaifa, pia ni mbunge anayewakilisha wananchi WOTE huko Bungeni pia yeye ni raia wa nchi hii hivyo anayo haki ya kutumikia, kusaidia au kutoa ushauri kwa manufaa ya taifa na huo ndio uzalendo, hata wewe unayo haki ya kutumikia taifa kwa kutoa ushauri na hapo unakuwa mzalendo na unakuwa umetekeleza haki yako ya Uraia kwa taifa lako nk. Mjenga nchi ni mwananchi.
 
Hayo yote uliyoongea nayaelewa ila point yangu ni kusema ana 'hutubia taifa' ndio ninachopinga mkuu. Rais au anaemkaimu ndio mwenye mamlaka ya kulihutubia taifa.
 
Ila hyo hoja ya kusema corona ni ugonjwa mpya SIO KWELI.View attachment 1402846

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa makini na jina la ugonjwa huu wa sasa.
Unaitwa COVID-19 yaani hii ni toleo jipya la vizuri wa aina hizo za Coronavirus.
Hili ni toleo la 2019 ambalo kiujumla ni jipya.

Hujawai kusikia leo kaonekana aina mpya ya samaki?
Kwani samaki hawakuwapo tangu zamani? Huyo mpya atakuwa na sifa zote za kuitwa samaki kama kuwa na mapezi lakini anaweza kuwa na kitu cha kipekee kuliko samaki wngine waliogunduliwa au kutambuliwa kabla yake.

Hao virus wanaitwa Corona virus sababu ya umbo lao kuwa na spikes.
Namna wanavyo shambulia, kuzaliana au kujilinda na mashambulizi ya dawa au kinga ya mwili inaweza kuwa tofauti na hao matoleo ya miaka iliyo pita.
 
SERIKALI NI SIKIVU USTIE SHAKA
 
Nimependa sana Idea ya mabasi na vyombo vya usafiri vya JWTZ kutumika kusafirisha wananchi ili kupunguza msongamano wa watu kwenye mabasi ya usafiri.

Hatua hii itakuwa role model kwa nchi nyingi za Afrika, Jeshi letu litakuwa karibu na wananchi na litapata heshima kubwa sana ndani ya nchi na duniani.

yaani badala ya Jeshi kupiga watu lenyewe lisaidie kupunguza ukali wa maisha wa watu

Mheshimiwa Rais, chukua hili wazo ni zuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…