Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Aah! "Kidonda ni Kidonda'tu mkuu Salary, mbele ya 'acid', haijalishi ni 'kidonda kibichi' au 'kidonda sugu'.Kwanza nikupongeze kwa kutokurudi nyuma hasa ukizingatia barua ile ya Msajili kwa chama chenu.Hata hivyo,pamoja na pongezi hizi, nawashauri mjiandae kwa lolote maana ni kama umeweka acid kwenye kidonda kibichi.
Yanabebeka, si direct namna hivyo, inategemea interpretation utakayochukua wewe!Aah! "Kidonda ni Kidonda'tu mkuu Salary, mbele ya 'acid', haijalishi ni 'kidonda kibichi' au 'kidonda sugu'.
Naona maneno aliyotumia Zitto ni mazito kwamba umeshindwa kuyabeba na kuyaleta hapa.
Jamaa kaamua kujilipua.Nami ninetafakari ile kauli nikasema nchi ya mizengwe hii watamuandama. "tutachukua ushindi" wanaweza kutafsiri wanavyojua wao. Lakini naangalia mazingira ya tanzania kuchukua ushindi ulioporwa naona pagumu kwa woga wa watanzania! Watamuandamana na lile li Msajili bomu, itakuwa kazi!
Na Zitto anawatega waingie kingi.Msajili akifuta ACT ndio amewasha moto mkali.
Kwa akili yako, Msajili anategemea JF kujua Zitto kaongea mini?Mbona ni maneno ya kawaida tu
Halafu jifunze kuweka maneno kifuani, siyo kila kauli unakimbilia kuianzishia mada JF.
Wapinzani sijui mnapigania nini, mnakuja kusnitch mitandaoni badala ya kutoa sapoti CCM ing'oke
Mambo mengine mnayakuza bila sababu, halafu mnawapa watawala sababu za kufanya uhuni wao!
Au na huu ni mpango mkakati wa vyama vingine vya upinzani kuionea wivu ACT kwa kulamba bingo huko Zanzibar?
Kwa akili yako, Msajili anategemea JF kujua Zitto kaongea mini?
Alafu kwani hata zile kauli za mwanzo hazikuwa ni za kawaida tu?
Hapa Zitto anajua anajua anachokifanya kwani anaelewa hivi sasa anafuatiliwa kila anachosema.
Mbona ni maneno ya kawaida tu.
Ni maneno ya kutaka haki bin haki kwenye uchaguzi wa mwaka huu
Kwamba atakayeshinda kihalali atapongezwa, ila ushindi ukiwa ni wa kupora hakuna kujikunyata!. Maneno mazuri sana hayo, na ndivyo inavyopaswa iwe!
Halafu jifunze kuweka maneno kifuani, siyo kila kauli unakimbilia kuianzishia mada JF.
Wapinzani sijui mnapigania nini, mnakuja kusnitch mitandaoni badala ya kutoa sapoti CCM ing'oke
Mambo mengine mnayakuza bila sababu, halafu mnawapa watawala sababu za kufanya uhuni wao!
Au na huu ni mpango mkakati wa vyama vingine vya upinzani kuionea wivu ACT kwa kulamba bingo huko Zanzibar?
Zitto ajue kuwa kuna watu wana wivu nae, watamshambulia mitandaoni, watamsnitch, watafanya kila wanaloweza ACT isifanikiwe, kwa hiyo awe makini sana
Wanaochochea ni kina nani zaidi ya wanaopora ushindi wa watu?Anawachochea wazanzibar wakati yeye atakuwa Ujiji siku hiyo amejificha!
Subiri uone kama Zitto atakuwa front!Wanaochochea ni kina nani zaidi ya wanaopora ushindi wa watu?
Msajili naye anaangalia reaction za watu mitandaoni. Akiona jambo limezua mjadala interest inaongezeka zaidi, ilimradi atimize nia yake ovu
Nakushauri vitu ambavyo wewe unadhani vinaweza kutumika kuumiza upinzani usivianzishie mada.
Watawala wanatafuta excuse na legitimacy ya kuhalalisha uharamu!