Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Nimesikiliza clip yako twitter kuhusu ni nini mtafanya mwaka huu iwapo mtashinda Uchaguzi halafu msikabidhiwe Serikali.
Kwanza nikupongeze kwa kutokurudi nyuma hasa ukizingatia barua ile ya Msajili kwa chama chenu. Hata hivyo,pamoja na pongezi hizi, nawashauri mjiandae kwa lolote maana ni kama umeweka acid kwenye kidonda kibichi.
Hakika umeamua kuwa "ngangari" na kwa namna hiyo,naamini unawapa moyo na ujasiri walio nyuma yako kama kiongozi ingawa kusema huwa ni jambo moja, na kuteleza huwa ni jambo lingine, but all in all, unaonyesha msimamo thabiti.
Hongera kwa kutomungunya maneno.