Zitto baada ya kauli yako, usishangae Msajili akaishukia ACT - Wazalendo


Mkuu uko sahihi sana, lakini kwa mazingira ya bunge yalivyokuwa ungeweza kudai hayo huko bungeni? Kwa mazingira haya sheria za kutokuhoji matokeo ya urais yanapaswa kuletwa kwa wananchi zaidi, kuliko bunge lenye nguvu ya ccm zaidi ya 70%. Halafu ujue hiyo ya kuhoji matokeo ya urais iko ndani ya katiba pendekezwa ambayo rais huyu aligomea kwa sababu zake binafsi na chama chake. Na madai halali hayana muda kwa watu wasioheshimu demokrasia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…