Zitto baada ya kauli yako, usishangae Msajili akaishukia ACT - Wazalendo

Zitto baada ya kauli yako, usishangae Msajili akaishukia ACT - Wazalendo

NEC ikishamtangaza mshindi wa Urais hata kama amepora hadharani, mchezo unaishia hapo na vyombo vya dola vinaingia kazini huku Mahakama ikiwa imefungwa miguu, mikono na mdomo. Maalim Seif, Zitto na huyu huyu Membe wanalifahamu hili vizuri sana

Hizi drama za Zitto alipaswa kuzianzisha kitambo sana na sio jioni hii. Sijui kwanini wanasiasa humute for 5 years na kuanza kulilia Tume Huru miezi michache kabla ya uchaguzi

Mkuu uko sahihi sana, lakini kwa mazingira ya bunge yalivyokuwa ungeweza kudai hayo huko bungeni? Kwa mazingira haya sheria za kutokuhoji matokeo ya urais yanapaswa kuletwa kwa wananchi zaidi, kuliko bunge lenye nguvu ya ccm zaidi ya 70%. Halafu ujue hiyo ya kuhoji matokeo ya urais iko ndani ya katiba pendekezwa ambayo rais huyu aligomea kwa sababu zake binafsi na chama chake. Na madai halali hayana muda kwa watu wasioheshimu demokrasia.
 
Back
Top Bottom