Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Hizo tuhuma ni nzito kwa Chadema kutoka kwenye andiko lake hapa jf.
Chadema kunasabaishwa na kilichopata kutuhumiwa ni chama cha kigaidi cha RENAMO cha huko Msumbiji ni jambo linalo fikirisha sana hasa wakati huu Mbowe ambaye ni M/kiti wa Chadema akiwa gerezani kwa tuhuma za makosa ya ugaidi!
Kwa nini leo Zitto ametoa andiko hilo?!
Chadema kitoke hadharani kukanusha kashfa hiyo.