Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mods naomba isomeke wauaji badala ya wauji
Kwa hiyo ahojiwe na polisi kanda maalumu ya dar es salaam? 😂😂Mods waiache hivyo hivyo maana una nia ya kueneza chuki.
Kama ukikiita RENAMO chama cha kigaidi basi FRELIMO nacho ni chama cha kigaidi. Wote walibeba silaha, wote waliamini wanapigania ukombozi wa nchi yao.Hizo tuhuma ni nzito kwa Chadema kutoka kwenye andiko lake hapa jf.
Chadema kunasabaishwa na kilichopata kutuhumiwa ni chama cha kigaidi cha RENAMO cha huko Msumbiji ni jambo linalo fikirisha sana hasa wakati huu Mbowe ambaye ni M/kiti wa Chadema akiwa gerezani kwa tuhuma za makosa ya ugaidi!
Kwa nini leo Zitto ametoa andiko hilo?!
Chadema kitoke hadharani kukanusha kashfa hiyo.
Zitto anafilisika kisiasa .
Jamani mnataka Zitto tumueleweje? Anatetea magaidi au anapinga ugaidi?Hizo tuhuma ni nzito kwa Chadema kutoka kwenye andiko lake hapa jf.
Chadema kunasabaishwa na kilichopata kutuhumiwa ni chama cha kigaidi cha RENAMO cha huko Msumbiji ni jambo linalo fikirisha sana hasa wakati huu Mbowe ambaye ni M/kiti wa Chadema akiwa gerezani kwa tuhuma za makosa ya ugaidi!
Kwa nini leo Zitto ametoa andiko hilo?!
Chadema kitoke hadharani kukanusha kashfa hiyo.
Bangi nyingine hii hapa.CHADEMA niagaidi kitambo sana kama unabisha niulize musa tesha ma waitara achilimbali chacha wangwe
USSR
Zitto sio boya unavyodhaniHizo tuhuma ni nzito kwa Chadema kutoka kwenye andiko lake hapa jf.
Chadema kunasabaishwa na kilichopata kutuhumiwa ni chama cha kigaidi cha RENAMO cha huko Msumbiji ni jambo linalo fikirisha sana hasa wakati huu Mbowe ambaye ni M/kiti wa Chadema akiwa gerezani kwa tuhuma za makosa ya ugaidi!
Kwa nini leo Zitto ametoa andiko hilo?!
Chadema kitoke hadharani kukanusha kashfa hiyo.
Zitto ni dalali...Kwa nini leo andiko lile liweke humu?
Weka kwanza source ili warekebishe la sivyo mtandao haushughuliki na matapishi ya walevi kama hayaHizo tuhuma ni nzito kwa Chadema kutoka kwenye andiko lake hapa jf.
Chadema kunasabaishwa na kilichopata kutuhumiwa ni chama cha kigaidi cha RENAMO cha huko Msumbiji ni jambo linalo fikirisha sana hasa wakati huu Mbowe ambaye ni M/kiti wa Chadema akiwa gerezani kwa tuhuma za makosa ya ugaidi!
Kwa nini leo Zitto ametoa andiko hilo?!
Chadema kitoke hadharani kukanusha kashfa hiyo.
Uzi umo humu kauweka Zitto mwenyewe kama identified member utafute tu.Weka kwanza source ili warekebishe la sivyo mtandao haushughuliki na matapishi ya walevi kama haya
Hiyo inaeleweka mda mrefu mkuu. Haya ni mauaji/matukio yaliyofanywa na ChademaHizo tuhuma ni nzito kwa Chadema kutoka kwenye andiko lake hapa jf.