Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Kwa nini leo andiko lile liweke humu?Sioni tuhuma za msingi kwa Chadema. Mbowe ni victim wa kisiasa tu! #mbowesigaidi
Habari huzaa habari.Sasa ndio nini?
Unaitoa habari JF unaiweka JF wewe ni kichaa?
Mods waiache hivyo hivyo maana una nia ya kueneza chuki.Mods naomba isomeke wauaji badala ya wauji
mada si iko huku?Habari huzaa habari.
Jikite kwenye mada.
Vyovyote.Sasa ndio nini?
Unaitoa habari JF unaiweka JF wewe ni kichaa?
mada si iko huku?
Au wewe ni mchambuzi wa michongo?
Rubbish nyingine hii hapa sijui imetokea wapi, ngeni kabisa JFHizo tuhuma ni nzito kwa Chadema kutoka kwenye andiko lake hapa jf.
Chadema kunasabaishwa na kilichopata kutuhumiwa ni chama cha kigaidi cha RENAMO cha huko Msumbiji ni jambo linalo fikirisha sana hasa wakati huu Mbowe ambaye ni M/kiti wa Chadema akiwa gerezani kwa tuhuma za makosa ya ugaidi!
Kwa nini leo Zitto ametoa andiko hilo?!
Chadema kitoke hadharani kukanusha kashfa hiyo.
Anyway team Zitto mnatafuta sana attention ya CHademaVyovyote.
Hizo tuhuma ni nzito kwa Chadema kutoka kwenye andiko lake hapa jf.
Chadema kunasabaishwa na kilichopata kutuhumiwa ni chama cha kigaidi cha RENAMO cha huko Msumbiji ni jambo linalo fikirisha sana hasa wakati huu Mbowe ambaye ni M/kiti wa Chadema akiwa gerezani kwa tuhuma za makosa ya ugaidi!
Kwa nini leo Zitto ametoa andiko hilo?!
Chadema kitoke hadharani kukanusha kashfa hiyo.
Usinihusishe na tapeli la kisiasa!Anyway team Zitto mnatafuta sana attention ya CHadema
Aweke ushahidi kwanzaMods waiache hivyo hivyo maana una nia ya kueneza chuki.
... takataka!Hizo tuhuma ni nzito kwa Chadema kutoka kwenye andiko lake hapa jf.