Zitto: Chadema kina mahusiano na chama cha RENAMO 'wauji' cha huko Msumbiji.

Habari yenyewe Iko wapi?Tupe link tukasome wenyewe
 
Kama ukikiita RENAMO chama cha kigaidi basi FRELIMO nacho ni chama cha kigaidi. Wote walibeba silaha, wote waliamini wanapigania ukombozi wa nchi yao.
 
Jamani mnataka Zitto tumueleweje? Anatetea magaidi au anapinga ugaidi?
What is Zitto's credibility against terrorism?
 
Zitto sio boya unavyodhani
 
..frelimo wana mahusiano na renamo kama mnavyoona hapo ktk picha ya maraisi wa vyama hivyo.

..na mahusiano hayo yana baraka za viongozi wa afrika akiwemo mzee jakaya kikwete, mzee paul kagame, na wengine.


 
Weka kwanza source ili warekebishe la sivyo mtandao haushughuliki na matapishi ya walevi kama haya
 
..maridhiano ya frelimo na renamo yakishuhudiwa viongozi wa dini, na maraisi wa afrika, akiwemo mzee kikwete.

 
..Rais wa Msumbiji akitoa heshima za mwisho wa mwili wa Alfonso Dhlakama mwenyekiti wa Renamo

 
Hiyo inaeleweka mda mrefu mkuu. Haya ni mauaji/matukio yaliyofanywa na Chadema

1. Mauaji ya viongozi wa serikali za mitaa. Vijiji na kata kibiti.
2. Mauaji ya Chacha Wangwe
3. Mauaji ya Acquilin
4. Ulipuaji wa bomu Soweto Arusha
5. Kuchoma moto ofisi zao
6. Ni wadhamini wa ugaidi Mtwara.

Kenge wafia chama watakuja na matusi lakini ukweli ndiyo huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…