GE2025 Zitto: Hakutakuwa na maandamano, kutakuwa na uchaguzi wa amani haijawahi kutokea!

GE2025 Zitto: Hakutakuwa na maandamano, kutakuwa na uchaguzi wa amani haijawahi kutokea!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Sijui hata kwanini tunazungumzia maandamano, kwa sababu chama ambacho kinaweza kuita maandamano ni ACT tu, na sisi tunashiriki uchaguzi kupiga kura...."

Zitto Kabwe Mgombea Ubunge kupitia Act jimbo la Kigoma Mjini
 
Kuweka maslahi binafsi pembeni kunataka uadilifu wa hali ya juu sana! Huyu mazafaka hana sifa hiyo!
 
ACT wanajiuwa wenyewe. Huwezi kuwa chama shiriki na CCM halafu ukapata support za watanzania wengi
 
Kwakuwa Zitto anagombea ndo anavutia kwake. Ingekuwa hagombei basi angekuwa kinara wa kuitisha maandamano.

Hakuna mwanasiasa mzalendo ni vile upepo utaendana na namna maslahi yake yatakavyo athirika.
 
Back
Top Bottom