Zitto hujawahi kuwa na siasa za engagement. Unatumika na CCM kuhujumu watanzania. Record zipo

Zitto hujawahi kuwa na siasa za engagement. Unatumika na CCM kuhujumu watanzania. Record zipo

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Tunajua unalipwa na CCM kuhujumu maisha ya watanzania. Ndio maana hata hko nyuma ulikamatwa live ukila milungula ili kuhujumu watanzania.

Hutaki CCM iondoke madarakani

Hizi porojo acha kutuletea
👇
Screenshot_20230220-095523.jpg
 
Huyu jamaa ni ndumi la kuwili. Halafu ameshaanza kuonyesha madhaifu yake mapema sana kabla ya kuzeeka.

Kama yeye ni tatizo hivi sijui hicho chama kinachomuamini na kumpa credit kama kiongozi kinabeba watu wa aina gani ndani yake.
 
Engagement kwenye bahasha za khaki ati 😁. Ukiwa unatumika hata wanaokutumia wanakujua kuwa wewe ni wa hovyo na sio mtu wa kuaminika. Kama nimeweza kukutumia na wengine si wataweza?
 
Tunakumbushana tu wasifu wa Viongozi wetu wa Upinzani

Naona umefura ghafla!
Kamwe cwez fura wala furahi bali ni vizr kuangalia boriti kwanza jichoni mwako kabla ya kutaka kuondoa boriti kweny jicho la mwingine!! Uwe j3 njema!!
 
Tunajua unalipwa na CCM kuhujumu maisha ya watanzania. Ndio maana hata hko nyuma ulikamatwa live ukila milungula ili kuhujumu watanzania.

Hutaki CCM iondoke madarakani

Hizi porojo acha kutuletea
👇
View attachment 2523865
Kwani Zito ana tofauti gani na huyu mwana CCM ambae amejinadi kwa mdomo na ulimi wake mwenyewe kuwa ni mwana CCM.

Mleta mada kama unaelewa na kujua kiswahili vizuri basi bila shaka utakuwa umeelewa Mbowe ni chama gani katika video hii.
Neno "wanachama wenzangu wa chama cha mapinduzi (CCM) linamaanisha kuwa hata Mbowe nae ni CCM aliejificha katika kimvuli cha upinzani uchwara kwa lengo la kuwahadaa wapenda demokrasia.

Ndio maana katamka live bila kumung'unya mung'unya maneno.

Ukweli ni kwamba hao wote ni wasaka tonge kupitia upinzani butu uliotengenezwa na hao hao CCM ili kuendelea kupata misaada na ufadhili kutoka Ulaya na Marekani.

Fungua video hiyo hapo kama ulivyofungua hiyo ya Zito. Nahisi mleta mada unajua kama na Mbowe ni CCM lkn unakimbilia kumshambulia huyo jamaa kwa vile yeye hana kundi la chawa la kumtetea mitandaoni kama mwenzake.
 
Attachments

  • 5218795-900eac709d849ea146fff30dcf48cf3c.mp4
    4.1 MB
Huyu jamaa ni ndumi la kuwili. Halafu ameshaanza kuonyesha madhaifu yake mapema sana kabla ya kuzeeka.

Kama yeye ni tatizo hivi sijui hicho chama kinachomuamini na kumpa credit kama kiongozi kinabeba watu wa aina gani ndani yake.
Zito na mwanafunzi wa Mbowe. Kwahiyo hawezi kuwa tofauti na mwalimu wake. Ushahidi huo hapo videoni.

Shuhudia jinsi mwamba alivyojinadi na kukubali kwamba yeye ni mwanachama mwenzao wa chama cha mapinduzi (CCM)
 
Attachments

  • 5218795-900eac709d849ea146fff30dcf48cf3c.mp4
    4.1 MB
Back
Top Bottom