Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Ndio sababu awe mamluki?Zitto alilipiwa ada na mzee Sitta
Zitto alilipiwa ada na mzee Sitta
Tunakumbushana tu wasifu wa Viongozi wetu wa UpinzaniAcha ukuda ww, tukianza kufungua makabrasha hata ww ulipewa msaad san!!
Kamwe cwez fura wala furahi bali ni vizr kuangalia boriti kwanza jichoni mwako kabla ya kutaka kuondoa boriti kweny jicho la mwingine!! Uwe j3 njema!!Tunakumbushana tu wasifu wa Viongozi wetu wa Upinzani
Naona umefura ghafla!
AhaaaTunakumbushana tu wasifu wa Viongozi wetu wa Upinzani
Naona umefura ghafla!
Kwani Zito ana tofauti gani na huyu mwana CCM ambae amejinadi kwa mdomo na ulimi wake mwenyewe kuwa ni mwana CCM.Tunajua unalipwa na CCM kuhujumu maisha ya watanzania. Ndio maana hata hko nyuma ulikamatwa live ukila milungula ili kuhujumu watanzania.
Hutaki CCM iondoke madarakani
Hizi porojo acha kutuletea
π
View attachment 2523865
Zito na mwanafunzi wa Mbowe. Kwahiyo hawezi kuwa tofauti na mwalimu wake. Ushahidi huo hapo videoni.Huyu jamaa ni ndumi la kuwili. Halafu ameshaanza kuonyesha madhaifu yake mapema sana kabla ya kuzeeka.
Kama yeye ni tatizo hivi sijui hicho chama kinachomuamini na kumpa credit kama kiongozi kinabeba watu wa aina gani ndani yake.