shirima Mathias JF-Expert Member Joined Feb 9, 2017 Posts 451 Reaction score 1,333 Sep 1, 2020 #21 Hili neno RUMBLING ilani amemaanisha nini kati ya RUMBLING ngurumo na RUMBLING kutetemeka? Chiingeresa bwana
Hili neno RUMBLING ilani amemaanisha nini kati ya RUMBLING ngurumo na RUMBLING kutetemeka? Chiingeresa bwana
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 Sep 1, 2020 #22 Yeye alitakiwa kuhangaika na kunadi ilani ya chama chake hivi anakumbuka alipopewa uwaziri wa fedha kivuli akashindwa kuleta bajeti mbadala kuongea na kutenda ni tofauti
Yeye alitakiwa kuhangaika na kunadi ilani ya chama chake hivi anakumbuka alipopewa uwaziri wa fedha kivuli akashindwa kuleta bajeti mbadala kuongea na kutenda ni tofauti
Mackanackyyy JF-Expert Member Joined Mar 26, 2019 Posts 2,338 Reaction score 5,271 Sep 1, 2020 Thread starter #23 wazunguwawili said: Mkitekwa hatuwapigii kelele [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Click to expand... Kwani CCM au mgombea wao ndo watekaji?
wazunguwawili said: Mkitekwa hatuwapigii kelele [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Click to expand... Kwani CCM au mgombea wao ndo watekaji?
ostrichegg JF-Expert Member Joined Jun 30, 2013 Posts 12,050 Reaction score 6,199 Sep 1, 2020 #24 Mackanackyyy said: Inawezekana Mwandishi ni mmoja.. View attachment 1555232 Click to expand... SAY IT LOUD
Mackanackyyy said: Inawezekana Mwandishi ni mmoja.. View attachment 1555232 Click to expand... SAY IT LOUD
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 23,683 Reaction score 55,898 Sep 1, 2020 #25 Duuh! Thesis ya mafuta ya korosho!!.... Kwa jinsi thesis ya korosho ilivyo mbovu. Bora nisiisome hii ilani.
Duuh! Thesis ya mafuta ya korosho!!.... Kwa jinsi thesis ya korosho ilivyo mbovu. Bora nisiisome hii ilani.
fagix JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 739 Reaction score 554 Sep 1, 2020 #26 Hiya ya act ni kama project ya form four
G goodluck5 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2014 Posts 7,092 Reaction score 11,613 Sep 1, 2020 #27 halafu eti wanakwambia watatoa ajira MILIONI NANE (8)... hivi huwa wanadhani watz woote hatunaga akili eeh?!.
halafu eti wanakwambia watatoa ajira MILIONI NANE (8)... hivi huwa wanadhani watz woote hatunaga akili eeh?!.