Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa JajiNa kuna yule mmoja alijiuzulu juzi juzi mmh dalili si nzuri
Kwani ni ajabu timu kubwa kuteua wachezaji kutoka kwenye timu yao ndogo? Hilo ni jambo la kawaida sana.
huenda ikatokea. sijui ikitokea watakubali kufanya kazi na rais waliyesema ana element za kidikteta...
Baaada ya Hamadi Rashidi, Mrema na Sasa Kitila, kuna uwezekano mkubwa Rais wetu akaendeleza nia yake ya kuwashirikisha wapinzani katika serikali yake na kwa mantiki hiyo zitto atakuwa miongoni mwa ambao wanaweza kushirikishwa. Lakini pia hata akina Mbowe, Lowassa, Maarim wajiandae na Nina uhakika hakuna atakayeteuliwa na akatae