nyie ndio madoctor pori mlokatazwa hata kujitangaza. Lakn ztto ni ninja kwenye siasa ya bongo namkubali.
Aende zake akamwimbie Diva kwanza. Huyu ni kijana Zitto nilikuwa na imani naye sana lakini cha ajabu akaja kutusaliti vijana wenzie wana mageuzi.
Mmmmmh......Zitto bhana!! Mi naona kama anaanza kuchuja!