Zitto Kabwe aandika wimbo wa Bongo Fleva

Zitto Kabwe aandika wimbo wa Bongo Fleva

sio kila jambo linapaswa kuchukuliwa kisiasa, watu wana maisha yao binafsi apart from politics, after all wimbo haujaandikwa na zitto isipokuwa wameshare idea na linex
source:linex
 
nyie ndio madoctor pori mlokatazwa hata kujitangaza. Lakn ztto ni ninja kwenye siasa ya bongo namkubali.
 
Aende zake akamwimbie Diva kwanza. Huyu ni kijana Zitto nilikuwa na imani naye sana lakini cha ajabu akaja kutusaliti vijana wenzie wana mageuzi.
 
Aende zake akamwimbie Diva kwanza. Huyu ni kijana Zitto nilikuwa na imani naye sana lakini cha ajabu akaja kutusaliti vijana wenzie wana mageuzi.

Zitto+Prezoo +Gk sawasawa na Diva,wengine wamebaki constant at s.t.p.
 
FANI ZINGINE BAADA YA SIASA

Zitto ,kuimba
Docta, kuchukua wake za watu
Mchaga,kufisadi chama
 
Back
Top Bottom