The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
- Thread starter
- #21
Nitajie tusi moja nililo mtukana,kwani sio mdini na mnafiki( ni kama kisema mtu mfupi au mrefu) ila kuita mtu ambae humjui ni shoga si sawa ,japo nadhani ulikuwa katika hali ya kawaida haukuwa serious kumiza mtu.Muombe kwanza msamaha Zitto kama kweli wewe una busara! Mnatukana sana Zitto, halafu yeye yuko kimya. Pamoja na ukimya wake nyie kila kukicha ni kumchafua Zitto!
Halafu watu Wa Kigoma kila kukicha ni kuwashutum kubusu asili yao! Mbona hajadili asili zenu, vipi asili ya Watz wengine wa mipakani mikoa mingine mbona hamjadili?
Wewe ni mbaguzi! Leta hoja za kujenga kwa Watanzania, sio za kibaguzi. Unaanza kujadili asili ya mtu! Mwaga na wewe asili yako.
Na uzuri wa ukweli huwa wanauona wengi ona hapa
Ni wakati muafaka sasa kwa ACT (Zanzibar) kuachana na Zitto
Ukweli ulio wazi ni kuwa Zitto kwa sasa hana mchango wowote kwenye siasa za upinzani za kutaka mageuzi hapa Tanzania, zaidi anachopambania ni maslahi yake binafsi kupitia serikali ya CCM chini ya utawala wa mama Samia. Jambo hilo sio afya kwa mustakabali wa malengo ya ACT hususani kwa upande wa...