Zitto Kabwe achekelea, asema Bundi ametua kwa majirani, ahaidi kusuluhisha vita

Zitto Kabwe achekelea, asema Bundi ametua kwa majirani, ahaidi kusuluhisha vita

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
11,557
Reaction score
33,535
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X. Zitto Kabwe amesema bundi ametua kwa majirani na kuahidi kusuluhisha vita.

1000017203.jpg
 
Kuna watu ni Viongozi lakini wanayoandika kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii utasema ni waimbaji wa bendi ya Taarabu

Mbona maturity inaonekana ndogo hivyo
Hiyo ndiyo siasa waliyoichagua hao. Vinginevyo wanakuwa hasumuni (irrelevant) na unfashionable (unpopular).
 
Hiyo ndiyo siasa waliyoichagua hao. Vinginevyo wanakuwa hasumuni (irrelevant) na unfashionable.
Inasikitisha sana

Yaani Kiongozi anaandika utasema sio Kiongozi

Nimeona pia Nape Nnauye kule CCM naye ana huo uandishi

Yaani wanaadika kama waswahili wa Mtaa wa Tandale 🙌
 
Siku Zitto akistaafu Siasa ndipo upinzani utapata Nuru. Kuna bundi gani Katua? CHADEMA ipo imara kabisa.
 
Kuna watu ni Viongozi lakini wanayoandika kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii utasema ni waimbaji wa bendi ya Taarabu

Mbona maturity inaonekana ndogo hivyo
Siasa ina kila aina ya vurugu .
 
Inasikitisha sana

Yaani Kiongozi anaandika utasema sio Kiongozi

Nimeona pia Nape Nnauye kule CCM naye ana huo uandishi

Yaani wanaadika kama waswahili wa Mtaa wa Tandale 🙌
Nape ni bonge moja la mshikaji wa mtaa yani unaweza kuwa nae ukahisi upo tu na mwanao wa Bukoli
 
Nape ni bonge moja la mshikaji wa mtaa yani unaweza kuwa nae ukahisi upo tu na mwanao wa Bukoli
Ndiyo maana amekuwa hivyo

Kuna age ikifika pamoja na nafasi yako ya Uongozi haipendezi kuenenda na kufanya mambo kama mtu wa Mtaani.

Tukumbuke Kiongozi ni kioo cha Jamii
 
Nape ni bonge moja la mshikaji wa mtaa yani unaweza kuwa nae ukahisi upo tu na mwanao wa Bukoli
Mkumbuke vilevile Lissu aliwahi kusema CHADEMA siyo mama yake.
Lissu lazima atakuwa na plan B akishindwa uchaguzi.,

Ikiwa Lissu atashindwa uchaguzi hata kugombea urais kupitia CHADEMA haitawezekana

Ninabet Lissu akishindwa uchaguzi atatoa visingizio vya rushwa ilii kuhalalisha kuhama kwake CHADEMA.

Most likely Lissu anaweza kutimkia ACT ya Zitto.
 
Lissu amepewa kazi na kitengo kuivuruga chadema
 
Back
Top Bottom