Generally hakuna chama kama CCM nchi hii ni suala mda tu bahati nzuri CCM imesheheni watu makini sana....Mtu kama Tundu Lisu kuwaza kua mwenyekiti wa chama ni tactical plan ,sio strategic plan..hafai,as he is anatakiwa kufanya kazi chini ya mtu who is a real leader.what are leaders???