Zitto Kabwe Agonga Mwamba kwa Madiwani wa ACT Wazalendo Kigoma ujiji

Zitto Kabwe Agonga Mwamba kwa Madiwani wa ACT Wazalendo Kigoma ujiji

ipo siku mtamaliza wote alafu mtagundua kumbe bado bashite mtammaliza alafu mtasema apana tunamwachaje polepole mwisho siku mtatuona watanzania mbona hawatupendi. sijui ikifika siku hiyo mtakapojua hayo mtushughulikie?

ccm movi yenu hii ipo siku mtajutia
Hii ni episode zitto hivyo usipindishe hoja!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi CCM bwana!! Kwa hio mnataka kumuondoa na meya wa kigoma ujiji ili muonekane miamba sio? Mlianza Iringa jamaa akakataa kununuliwa kama mfugo, mkaenda Arusha akafika bei, mkaelekea Dar sijui mkuria yule mlimpa dau dogo maana alikua na elements za kuunga mkono juhudi hatimae mkashindwana mkaamua kumuondoa kwa hila (illegally). Sasa naona Bashiru Ally amekuja huko kuhakikisha meya wa huko anaondolewa!!!!!
Ipo siku haya yataisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe story hujaisoma unaingiza utabiri. mgogoro ni wa ndani ya chama madiwani wametofautiana kwenye 10% ambayo inaonekana mnufaika ni Zitto na Meya wake na ukumbuke kuwa kikao hicho ni kikao cha ndani ya Chama chenye wajumbe ambao ni makada wa zambarau sasa hiyo ccm na Bashiru wanaingiaje
 
Njaa mbaya sana. Ipo siku mtaaibika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom