Zitto Kabwe ahoji ukimya wa matokeo ya uchunguzi wa ubovu wa vipimo vya Maabara Kuu ya Taifa

Inatengenezwa Cover report, ili iendane na matakwa ya mwajiri wa tume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
terms of reference za kuandika report zinatoka Rubondo unategemea nini zaidi ya kupika.
either waharibu taaluma zao au wapewe UDC, WHO wanaisubiri report kwa hamu
Ripoti ya uchunguzi inategemea na hadidu rejea ambazo tume ilipewa, sasa inawezekana ikawa mtihani pia kwa Wajumbe wengi wa tume sababu na wao wanasimamia tafiti zinazofadhiliwa na hao tunaowaita mabeberu.
 
Ripoti juu ya vipimio vya vipimo vya Elizabeth Ann😀...kumprove bwana yule WRONG?? Kila mtu alinde tumbo lake na mbuzi wa kafara lazima wawepo!

Everyday is Saturday.......................😎
Hatujinfuzi kwa makokosa, mwaka flani serikali ilimwaga ngano ya kampuni flan ikadai ni mbovu, ili kumkomoa mfanyabiashara, wenye ngano yao wakashitaki huko duniani kwa kudistort brand yao, kilichotokea muulize Nkapa

Report ikisema vifaa ni vibovu watengenezaji wa wenye vifaa watashitaki titalipa ndege,

Labda report iseme ulikuwa uzembe wa wafanyakazi hao serikali itawamudu kuwaonea
 
Hiyo ilikuwa ni njia tu ya kumsupport boss alichosema asije akaaibika, hakuna uchunguzi wowote wa hiyo maabara uliofanywa na hiyo tume. Unachunguza kitu ambacho uwezo wako wewe ni application tu, labda wangeunda tume ya wataalamu waliobuni hicho chombo tungepata matokeo ya maana.
 
Zitto yupo sahihi kabisa,medical science kama ilivyo science nyingine inakwenda na vipimo.Vipimo ndio data.Ndio kigezo cha taaluma ya mahabara.
 
Huyu Zitto ni mpumbavu kweri kweri. Tume imemaliza kazi tarehe 12/5/2020. Leo ni siku ya pili tu. Huo uchunguzi hawafanyi majumuisho? Hawachapi hiyo document? Upuuzi mwingine bwana. Kwani Zitto aliambiwa tarehe ya kutangazwa itakuwa lini?
 
Hicho kinachopikwa kimeshaiva, anayesubiriwa kutoa maagizo namna ya kukipakua yuko chimbo, anawaangalia tu na kusema hiiiiiiiii!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M-color, wewe jifanye tu kama vile corona haipo TZ na uendelee kuchapa kazi. Zaidi ya wiki mbili sasa, hakuna aliyeambukizwa, hakuna aliyekufa na hata wale waliokuwa wameambukizwa nao hawaponi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahhh Mi najileweaaaa tu hapa maana sielewi elewi
Ila nachkua tahadhari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ripoti inatoka lini? Waziri anayo wajibu kuwaeleza watanzania kuchelewa kutolewa ripoti.
 

kwa mujibu wa Kigogo2014 jamaa ataingia town leo toka karateen tegemeeni ripoti muda wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…