Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Inatengenezwa Cover report, ili iendane na matakwa ya mwajiri wa tume.Kupitia mtandao wa Kijamii, Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto amehoji ukimya wa matokeo ya uchunguzi wa ubovu wa vipimo ya Maabara Kuu ya Taifa baada ya Kumsimamisha Dkt. Nyambura baada ya mbuzi, mapapai nk kukutwa na COVID 19
Baada ya uchunguzi kukamilika tulitegemea haraka sana tupewe majibu ya ripoti. Lakini kimya kizito kimetanda.
Huu ukimya unaashiria nini?Ukizingatia kutokana na "hujuma" za mabeberu tusingetegemea kuchelewa kutangaziwa "ubovu" na "uozo" uliogunduliwa na timu ya uchunguzi.
Sent using Jamii Forums mobile app