Zitto Kabwe akamatwa na Polisi baada ya kwenda kuwaona viongozi wa vyama vya upinzani waliokamatwa na Polisi

Hizi move za jeshi la polisi ni za kizamani sana, kukamata kamata hivi wanaonekana amateur.
 
Hawa jamaa watamaliza miaka mitano, kwa kukamatwa kamatwa tuu hili wasipotee kwenye game, mpaka uchaguzi ufike.
Kambarage Nyerere angekuwa na akili za watu kama nyie, leo hii Tz ingekuwa bado inatawaliwa na mkoloni wa kizungu! Wewe unafikiri huu uhuru wa bendera ambao mna-enjoy ulipatikana kwa kujipendekeza kwa wakoloni?
 
Daah!! Kwa Hiyo Mungu alishatuacha Tuangaishane wenyewe, Oohooo God Why did you let me born in Africa. Jamani Miafrica Pumbafu Kabisa Sisi.
Hivi nikikupa LIKE inakuwa ni uchochezi?? sincerely pokea like yangu.
 
Oya wanangu leo ni nov 4 au nov 3?

zitto ndio kanipeleka resi au mimi niko resi?
 
Sawa .wawapeleke mahakamani.
Kura muibe na ubabe mlete.hii nchi hii.
Kuishi inataka moyo sana
 
Siyo Tanzania
 
Baba wa Taifa hili hakika tungekuwa na uwezo tungeomba Mungu ufufuke ili uje kumrejesha Ile FURAHA na amani. Ule upendo ambao ulifanya Tanzania isitajike kwa ukabila wala ukanda. Yaani sisi tuliozaliwa enzi za Mwl na kuishi miaka hiyo tulifurahi sana. Yaani tulijiona wamoja mno. Sikuwahi kufikia kabila ganI wala kanda gani. Wasaliti walikuwa wanakamatwa kimya kimya na kupewa adhabu na hakukuwa na cha risasi wala mabomu wala nini. Ukiingia anga zake tu anakuweka mahali. Wananchi tuna hofu tuhurumieni. We can't see a promising future. Majonzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…