Board member
Senior Member
- Sep 24, 2021
- 107
- 248
Kuna chuki inaonekana wazi wazi CDM wako nayo kwa Zitto. Hapa naona kuna watu wengi hawajibu hoja yako bali wanathibitisha tu ulichosema.Zitto yupi, aliyeahidiwa ubalozi na CCM?. Yule alishajifia kisiasa anatembelea upepo wa Pemba ya Maalim Seif.
Jaribu kufikiria, hivi vikao vya maridhiano kama ingekua ni vya Zitto na ccm, wangemuita pandikizi, au anatumika. Lakini wao wanajiona ni halali kufanya maridhiano na ccm na hawawi wanatumika.
Kuna hoja ya katiba mpya. Zitto na baadhi ya wanaharakat wanataka kwanza ipatikane tume huru ya uchaguzi coz hata hiyo katiba mpya ili ipitishwe kutakua na referendum ambayo itasimamiwa na tume so kuna hatari kama referendum itafanyika bila tume huru, katiba inaweza kuchakachuliwa.
Chadema wanapinga. Wanatakankatiba mpya kwanza kabla ya tume, and wanapinga just b'cause hoja ya tume kwanza ni ya Zitto. Wanamchukia.