Zitto Kabwe ampongeza Nape kwa kuthamini haki na kuihubiri

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
525
Reaction score
1,257
Mwanasiasa Zitto Kabwe amempongeza kauli ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye kuhusu umuhimu wa haki.

Zitto ameandika: “Asante sana Nape Nnauye kwa msisitizo huu wa HAKI. Haki za Watu ni jambo la Msingi kwa jamii yeyote kuweza kupiga hatua. Nimefarijika sana kuwa unaongelea umuhimu wa HAKI bila kigugumizi. Asante sana.”

Nape alitoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza kuhusu umuhimu wa katika kikao na baraza la wafanyakazi la Wizara hiyo kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa CCM jijini Dodoma, Machi 26, 2022.

Your browser is not able to display this video.
 
Ukiwa mpinzani sio upinge kila jambo.

Zito ni mwanasiasa muungwana.
 
Ukiwa mpinzani sio upinge kila jambo.

Zito ni mwanasiasa muungwana.
Nasema kila siku tuna Taifa la watu wajinga.

Vitu vimeandikwa na tofauti anachokisema , hivi mahakamani watafata Maneno ya Nape? Au viliyoandikwa? Tunasema kila siku lakini kuna siku tutasema jamaa kabadilika kumbe kiliandikwa.

Vijana tupende vilivyoandikwa.
 
Zitto ni Mrema aliyechangamka
 
Zitto ni german shefadi au? Je ni nani???? Tusaidieni kujua breed yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…