Elections 2010 Zitto Kabwe anaongoza Kigoma Kaskazini

Elections 2010 Zitto Kabwe anaongoza Kigoma Kaskazini

Obviously Zitto angeshinda ila ilikuwa ni matter of percentage, wether 90%, 80% or 90.8%.
 
ni wazi Kabwe alikuwa ashinde, nilikuwa nasubiri figures tu.

Mamushka yaelekea leo hukulala kabisa! Hongera Zitto....bado tunakuhitaji Mjengoni kwa maslahi ya Taifa!
 
Hongera sana ZK. Tunasubiria mavituuuuuuuuus mjengoni, kuna makamanda wengine wapya wanakuja nyuma - Sugu, Vicent Nyerere, Mnyika - hakika waTZ tutapata burudani ya kutosha.
 
Back
Top Bottom