Zitto Kabwe and ACT Wazalendo: Entangled in the Web of Conflict of Interest?

Kijana aliyejikita kwenye political graft si wa kumuamini hata kidogo
 
Hata kabla ya Samia...na nguvu ya ACT Zanzibar, ZZK alitimuliwa CDM kwa hulka yake ya udalali (ndumi la kuwili)!
Tatizo kubwa la vijana Tanzania ni Njaa na Umaskini. Wakitamanishwa fedha tamaa zinawaka, wanalamba na wanapoteza malengo!
Mifano ipo mingi!
 
Upo sahihi sana kiongozi.
 
Dini inataka tuwe wamoja na kupeana sapoti hata kama halina maslahi kwa umma!! Pia nimenusa fursa mule hivyo sitaki kuongea wakati wa kula. Ishi humo!
 
Umesahau na udini wake
 
Mke wake Disiii. Baba Mkwe mshauri wa Mama ikulu. Nimeona katoa pole tetemeko la Morocco. Act bwaana 😁😁
 
Mke wake Disiii. Baba Mkwe mshauri wa Mama ikulu. Nimeona katoa pole tetemeko la Morocco. Act bwaana 😁😁
Ndiyo hiyo kuwa Entangled in the conflict of interest! Sasa Morocco sawa kuwappa pole, lkn ya nyumbani ni first priority...kwako kunaungua unakimbilia kuzima kwa jirani ni AKILI MATOPE
 
Uko sahihi no apology bro we thank you for the observation.
 
Chama cha ACT siku hizi kinatoa matamko kupitia wasemaji wao wa kisekta. Hayo ulo orodhesha wamesha yaongelea yote. Gone are days za Zitto kusimama mbele ya waandishi kwa kila kitu.

Anza kuwasikiliza wasemaji wao kwa kila sekta, kila siku wanaongelea ishu. zetu wananchi.

Halafu Zitto mumpumzishe sasa, mnaanza kumchokonoa ili asiachie madaraka. Keshasema mwakani March anakoma kuwa kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo kwa mujibu wa katiba yao.

Wadini ni nyie ambao kila siku kutwa kucha mnaandika udini na kila kitu mnakitafsiri kama udini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…