Zitto Kabwe apata mtoto wa kike

Hongera sana kaka Mungu amjalie afya njema na makuzi yenye maadili
 
Washawaita watoto wao majina ya Musa, lakini tunahenyeshwa na farao kupita maelezo!!
Wengine wameawaita mohamed usidhani wanakuwa "MTUME"

Wengine wanajiita mungu lakini wana pacemaker kumoyo.
Huyo Mungu ni nani na Pacemaker ya nini?
 
Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi katika kumlea vyema bint yake na amlee katika mazingira mema ya kidini
 
Hewaa ndiyo huyo huyo.....sasa nikashangaa kuikuta kwa mtu mwingine....tena kijana wa kiume.....

Inakuwaje mtoto wa kiume utumie avator ya kike.....au kuna kitu kinaendelea kati yao.......!!!

Any way.....is non of my bussiness....
We mgeni humu??au ndo ule inspires wivu wakike? Changia Mada husika acha kuchunguza watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…