Zitto Kabwe apata mtoto wa kike

Zitto Kabwe apata mtoto wa kike

Mbona kazaa Mkubwa hivyo .......aisee mtoto si atamuita babu
 
Naona jamaa ametumia naming convention ya kikongomani kabisa daahh....
 
Ni sawa! Lakini si mbaya mda mwingine kumuonyesha makhaba mwanamke wako walau kwa kuweka avatar yake kwa profile yako.. That's my girl na najua hata Mkuu KikulachoChako anafahamu ila ameamua afanye kusudi tu..

Samahani ndugu.....mimi kwa upande wangu nilisha muomba msamaha....huyo binti....na nadhani mambo yalishakwisha.....

Sikuwa najua kuwa haya masikhara yangewakwaza kiasi hicho....

Mimi siwezi kumpangia mtu yoyote namna ya kuishi....kwani sina mamlaka hayo....ila nashangazwa na jinsi ambavyo mmekwazwa sana na niliyoyaandika hali ya kuwa nimeshaomba msamaha.......na nilichukulia masikhara kama masikhara mengine.....yanayofanyika humu jamvini.......

Sikuwa najua lolote kati yenu kwa zaidi ya kujua kuwa nyie ni memba wenzetu humu jamvini....na daima masikhara na ucheshi ndivyo vinavyokoleza utamu wa jukwaa hili......na JF kwa ujumla.............

Kama ni kweli hilo jambo limetokea kati yenu....basi Allah awajaalie kheri....ili mlifanikishe hilo katika mapenzi yake ALLAH.........

Bado nasisitiza sina mamlaka wala uwezo wa kumpangia mtu jinsi ya kuishi au kufanya mambo yake kwa namna yoyote hilo.....hasa kwa mtu ambaye simfahamu na yeye hanifahamu kwa lolote lile.......

Nimekerwa na lugha kali zilizotumika dhidi yangu.....baada ya andiko langu......lakini nimeusafisha moyo wangu na kuwataka radhi.....

Natumaini nimeeleweka vyema.....
 
Kikulacho waswahili wanasema kichaa akikuvua chutama. Mpaka hapa ulitakiwa uwe umeshajua wewe uko level nyingine kiupeo na kihekima. Huna haja ya kurudiarudia kujieleza kwa mtu huyo huyo. Mngekuwa level moja mngeshaelewana.

Hongera Baba Josina.
 
Hogera Mh Zito!ila umemtwisha mwanao mzigo wa jina.
 
Back
Top Bottom