Zitto Kabwe apata mtoto wa kike

Lengo kuu ni kukuprovoke,haiingii akilini hadi mtu anakuquote,anaandika reply hadi anapost asiione ID yako.
Ndio vile tena...

Samahani binti kama umekwazika na na niliyoyaandika.....sikuwa na lengo kukuudhi bali nilikuwa tu kwenye maskhara....kwani najua JF kisima cha waungwana......

Nisamehe bure maana sikudhani kama haya mambo yangefika huku......
 
Hongera sana mheshimiwa kwa kupata baby girl mungu awape karama ya kumlea mtoto wenu katika misingi mizuri yenye kumpendeza Mungu amina!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…